Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Wivu ulikuwa unanisumbua kuliko mleta mada! Nilikuwa siaminiamini dada ndio anachukuliwa.🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningezeekea nyumbani pia roho ingekuuma.
 
Mwanaume ndo anamlea mke. Usipomlea tu wenzio wanamuiba si unajua wanawake tunapenda kudekezwa n.k?
sasa hivi mwanamke ukideka tu anaingia mwenzio mpo wengi sana

anaebembelezwa awe na pesa hawa wanaofanya mwanaume ATM zao wakati wao ushapita
note mimi padri sista Valentina
 
Back
Top Bottom