Elections 2010 Hala hala tume ya uchaguzi

Elections 2010 Hala hala tume ya uchaguzi

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
hatutaki kuona yaliyotokea kenya uchaguzi uliopita yanatokea hapa kwetu kwa kuwa na tume inayolinda maslahi ya wakubwa,wito wangu kuwa hakuna sababu za kuyatangaza kwa pupa matokeo huku mazingira ya rafu yameanza kujionyesha tangu sasa,wapo waangalizi wa uchaguzi wa ndani na kutoka nje ya nchi,nitashangaa kama matokeo ya tume ya uchaguzi yatapishana na yale ya waangalizi wa uchaguzi wawe wa ndani au nje,wote tutapita ila tz haitapita,tume wekeni maslahi ya umma kwanza
 
Kama vile nimepotea kiaina kwenye hiyo hoja hapo...i thought ni tamko la tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom