hatutaki kuona yaliyotokea kenya uchaguzi uliopita yanatokea hapa kwetu kwa kuwa na tume inayolinda maslahi ya wakubwa,wito wangu kuwa hakuna sababu za kuyatangaza kwa pupa matokeo huku mazingira ya rafu yameanza kujionyesha tangu sasa,wapo waangalizi wa uchaguzi wa ndani na kutoka nje ya nchi,nitashangaa kama matokeo ya tume ya uchaguzi yatapishana na yale ya waangalizi wa uchaguzi wawe wa ndani au nje,wote tutapita ila tz haitapita,tume wekeni maslahi ya umma kwanza