Huu ni msimu wa mvunja rekodi, jini, shetani wa mpira Halaand, nawaza jinsi Inter itakavyoenda kuchakazwa na huyu Bwana.
Rekodi zake sihitaji kuziweka hapa maana zinafahamika
NB: siasa za mpira zitasema apewe leonel Messi sababu ya WC, lakini tukumbuke
2010 Iniesta hakupewa
2014 muller hakupewa
2018 mbappe/ Griezman hakupewa
Namkubali Messi ila tangu atoke WC amekua kama mchezaji anayesubiri kutangaza kustaafu, ni aibu akipewa hii tuzo
Wanajua soka pekee, watampigia kura jini Halaand mapema tuu