Halaand Apewe Balon dor yake mapema tuu

Halaand Apewe Balon dor yake mapema tuu

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Huu ni msimu wa mvunja rekodi, jini, shetani wa mpira Halaand, nawaza jinsi Inter itakavyoenda kuchakazwa na huyu Bwana.
Rekodi zake sihitaji kuziweka hapa maana zinafahamika

NB: siasa za mpira zitasema apewe leonel Messi sababu ya WC, lakini tukumbuke
2010 Iniesta hakupewa
2014 muller hakupewa
2018 mbappe/ Griezman hakupewa

Namkubali Messi ila tangu atoke WC amekua kama mchezaji anayesubiri kutangaza kustaafu, ni aibu akipewa hii tuzo

Wanajua soka pekee, watampigia kura jini Halaand mapema tuu
 
Hata sisi mashabiki wa Messi hatuitaki hyo tuzo, tulizonazo zinatosha sasa. Apewe tu huyo bwana mdogo aka jini.
 
Back
Top Bottom