Kuna mtindo umeingia hivi Sasa hapa mjini wa wadada kutengeneza shepu na kupungiza tumbo kwa kufunga mikanda tumboni.
Mtindo huu siyo mzuri ndugu zanguni maana mikanda hii inabana sana tumbo. Kumbukeni viungo vyote mwilinj vinahitaji hewa na damu, lkn mikanda hii inabana kiasi cha kuvifanya viungo hivi kupata damu na hewa kwa uchache sana.
Hali hii itapelekea baaadhi ya mishipa kupasuka na mwishowe kufa na hivyo kupelekea kupungua kwa ufanisi wa viunho hivi kufanya kazi zake.
My take.
Kama umepewa shepu ya tofali ama gunia la mahindi, au umepewa maziwa (manyonyo) makubwa kama matikiti na tumbo kama mjamzito kubaliana na hali maisha yasonge mbele.