BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Badala ya Triple LiKe, nataka kutoa LiKe nne.
Zinaitwa Forthplets???
(Double LiKe) skwea.
Heri ya pasaka kongosho
Uko wap ili nije kukufundsha kabisa na nikuachie copiez za notes in swahli na kilatini.....kama upo willing kuimba mkuu.,leo nimelia kwa furaha wakati nikiwa choir nauimba! Raha tupu...jaman hv uwo wmbo cwez ku-download nautafta balaa anaejua msaada plz, mana ukimbwa naona kama npo heaven tena ukute choir imejfua vya kutosha dah..!
so do la fa mi do re....... so do la ti do re doo!!!Doo'so'la'so'
Hivi ALELUYA maana yake nini?
Leo bhana wakati tunaendelea na ibada yetu ya pasaka kanisani ukaimbwa wimbo maarufu sana ambao ukiimbwa kipindi kama hiki pamoja mi dhambi yangu yote huwa najihisi kama napaa vile.......Kwa kiswahili huwa wanauita Haleluya Kuu
Hallelujah - Choir of King's College, Cambridge live performance of Handel's Messiah - YouTubeNisukumie kama unao ili niburudike mkuu.
Mkuu [MENTION]Mamdenyi[/MENTION], sina uhakika kama ninao kwenye archives zangu kwenye mp3 ila unaweza kuburudika na huo alioutoa Elizabeth Dominic hapoNisukumie kama unao ili niburudike mkuu.
huo bwana ni mgumu sana, sasa kama mwl si mzuri sana kwenye nota basi mtausikiliza tu wenzenu wakiimba. kuna sehemu mitaa ya kati pale kila sauti wanaimba maneno yake na tune yake.Mwal. wetu wa kwaya anaona uvivu kuufundisha.
mimi nipo busy hapa natia maneno yangu ya kiswahili sauti ya kwanza, sauti nyingine waendelee tu na kidhungu chao, bora nimeburudika. thanx