Haleluya Kuu....

Haleluya Kuu....

huo bwana ni mgumu sana, sasa kama mwl si mzuri sana kwenye nota basi mtausikiliza tu wenzenu wakiimba. kuna sehemu mitaa ya kati pal
e kila sauti wanaimba maneno yake na tune yake.
kuna siku nakumbuka tupo home na kaka yangu, wote tulikuwa tunaimba, sasa nikawa nataka tuimbe wimbo fulani, nikawa nimeushahau jina ila najua maneno na tune ya sauti ya kwanza, nikawa namuimbia wala akawa hanielewi, kumbe kile kipande sauti ya tatu wanaimba maneno mengine na tune nyingine, kazi hapo

Yaani mnavojadili huu wimbo wa halleluya chorus mi nywele zinanisimama na machozi yananitoka!

RIP G.F. Handel (1685-1759)
 
Ngoja niutafute nao Fixed Point bali kuna nyingine ya kusisimua inaitwa Gloria in Exelsis Deo huimbwa wakati wa Noeli pia huimbwa kwa kiswahili....
Mbali kule naasikia, Malaika wa Mbinguni...................
sasa sijui walishindwa ku-translate kiitikio..................... kimebaki Gloria in Exelsis Deo......................... uwasikilize wangoni sasa wanavyokutamkia hiyo in Exelsis Deo, utazimia
 
Fixed Point, nadhani ilibaki hivo kwa sababu nadhani it is a well known latin phrase kwenye christianity, na hivyo kutodisturb muziki wake orijino, na nadhani pia kuacha 'kakilatini' kidogo kasipotee kabisa kwen litrujia nk...am just thinking
 
Last edited by a moderator:
Mbali kule naasikia, Malaika wa Mbinguni...................
sasa sijui walishindwa ku-translate kiitikio..................... kimebaki Gloria in Exelsis Deo......................... uwasikilize wangoni sasa wanavyokutamkia hiyo in Exelsis Deo, utazimia

We Fixed Point umenichekesha kweli we mchokozi hasa ukiwasikia wamakonde je....ebu jaribu kuigizia tusikie....lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom