Haleluya Kuu....


Yaani mnavojadili huu wimbo wa halleluya chorus mi nywele zinanisimama na machozi yananitoka!

RIP G.F. Handel (1685-1759)
 
Ngoja niutafute nao Fixed Point bali kuna nyingine ya kusisimua inaitwa Gloria in Exelsis Deo huimbwa wakati wa Noeli pia huimbwa kwa kiswahili....
Mbali kule naasikia, Malaika wa Mbinguni...................
sasa sijui walishindwa ku-translate kiitikio..................... kimebaki Gloria in Exelsis Deo......................... uwasikilize wangoni sasa wanavyokutamkia hiyo in Exelsis Deo, utazimia
 

Fixed Point, nadhani ilibaki hivo kwa sababu nadhani it is a well known latin phrase kwenye christianity, na hivyo kutodisturb muziki wake orijino, na nadhani pia kuacha 'kakilatini' kidogo kasipotee kabisa kwen litrujia nk...am just thinking
 
Last edited by a moderator:

We Fixed Point umenichekesha kweli we mchokozi hasa ukiwasikia wamakonde je....ebu jaribu kuigizia tusikie....lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…