Haleluya Kuu....

Ukweli mkuu,
siyo siku hizi watu eti wanaoteshwa watu kupata ajali na watu kufa
si unaona navyo mambo yamebadilika mkuu.

Aaah huu wimbo si mchezo bwana mtunzi nasikia alioteshwa!
 
Kuna rafiki yangu kausikia sasa hivi kwenye u tube akasema piga ua utakuwa wimbo wa kuingia wakati wa Harusi yake mwishoni mwa mwezi huu.
Wakatoliki tunahazina sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…