Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

Pres61

New Member
Joined
Feb 10, 2024
Posts
3
Reaction score
5
Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo.

Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu yupo na majaribu na changamoto tumeumbiwa binadamu. Lakini katika yote Mungu ndo muweza wa yote. #usikate tamaa
 
Back
Top Bottom