Aiseee, yaani nimeka hapa ofisini napata hizi taarifa hadi nimesahau kunywa chai maana naiona haina utamu kama utamu wa ushindi wa Mnyika!
Sijui ushindi wa Dr Slaa itakuwaje, naweza shindwa kula siku nzima ya leo!
Na huu ni mwanzo, baada ya uchaguzi, CHADEMA tunaendelea kujenga misuli, come 2015, tunaweka wagombea majimbo yote 239 Tanzania nzima, CCM watatamani kuhama nchi!