Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Zimebakia kata mbili ambazo zina watu 1000 hata CCM wakishinda zote bado Mnyika ataongoza
 
Tupe breakdown za kura mkuu, niko ofisini lakini hakuna aliye na mood na kazi kila mtu ana hamu ya kusikia Rais mteule Dr. Slaa akitangazwa!
 
CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! jamni me nahisi raha kama nini, natamani nitoke ofisini nije mtaani, hata ham ya kufanya kazi leo sina.
 
tunasubiri confirmation ya mbeya mjini,iringa mjini,ubungo na kawe kwa hamu kubwa
 
vere good Mnyika tunakutegemea sana ...:cheer2::cheer2::cheer2:
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Hongera broda Mnyika, tunaamini sasa ni wakati tofautii!!!
 
dah,how i wished to see this man in the parliament
 
Aiseee, yaani nimeka hapa ofisini napata hizi taarifa hadi nimesahau kunywa chai maana naiona haina utamu kama utamu wa ushindi wa Mnyika!
Sijui ushindi wa Dr Slaa itakuwaje, naweza shindwa kula siku nzima ya leo!
Na huu ni mwanzo, baada ya uchaguzi, CHADEMA tunaendelea kujenga misuli, come 2015, tunaweka wagombea majimbo yote 239 Tanzania nzima, CCM watatamani kuhama nchi!
 
....WOW!! Good for him.

We Pretty hujawahi kuingia kwenye anga za Mkuu wa mafisadi? Maana jinsi ulivyo angekuona angeahirisha kufanya mkutano wa kampeni angalau akachakachue kidogo. CHADEMA OYE! Huku kwetu Geita amechakachua na wife wa mtu. CHADEMA OYE!
 
tunasubiri confirmation ya mbeya mjini,iringa mjini,ubungo na kawe kwa hamu kubwa

kaka mbeya hatuhitaji confirmation yao labda huko kwingine!

tanzanians has made me proud....



change is inevitable!
 
Wow pressure yangu naona inaanza kutulia, Hongera sana, tuvute subira saa ya ukombozi imekwisha wadia
 
Sina shaka, kama alivyo tushauri Dr. wa ukweli wajibu wetu tuliutimiza naye alituthibitishia tukitimiza wajibu wetu, ushindi ni wetu naona kweli twaelekea huko.
 
Safi mno, tuleteeni na Kawe nasubiri kwa hamu sanaaaaaaaaaaa. Keep it up!!
 
Taarifa nilizozipata muda huu na kuthibitishwa na Meneja wa Kampeni wa John Mnyika Edward Kinabo zinasema kwamba mpaka sasa katika jimbo la Ubungo ni vituo arobaini tu vya Kata ya Mbezi ambavyo bado kuhesabiwa kura na mpaka sasa Mnyika anaongoza kura kwa tofauti ya kura zaidi ya elfu kumi na sita na mia saba (16,700).

Pia wakazi wa Ubungo wameanza kumiminika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Royola kusubiri kusikia kutangazwa kwa Mbunge Mpya wa Ubungo.

Matokeo ya Udiwani Jimboni Ubungo ambayo CHADEMA imeshinda ni kama ifuatavyo:

Kata Saranga
Kata ya Kimara
Kata ya Mbezi
Kata ya Sinza
 
hongera mnyika, kweli mvumulivu hula mbivu
 
Back
Top Bottom