Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mbona kama kidole cha shori lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hawa waandishi wa habari wa kitanzania wana matatizo gani?wamesoma wapi?mbona wanauliza maswali ya kipuuzi ?
nimeangalia live footage kupitia Star TV waandishi wanamuuliza kikwete maswali, wengine wanamuuliza umempigia kura nani?wengine ooh uliwahi kuwateua wapinzani wawe wabunge kwa nini kwenye serikali ijayo usiwateue wawe mawaziri?kikwete alichukizwa na swali hili akamjibu muda huu watu wanazungumzia uchaguzi kwanini aulizwe maswala ya serikali?mbona matokeo bado?wakawa wanarudiarudia kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu mpaka kachukia
Kuna jamaa mgombea udiwani kupitia CCM hapa Sinza alitaka kujipenyesha aingie kwenye kituo kwa 'wadhifa ' wake watu wamemkomalia likatokea zongo polisi wakamtuliza nitawapandishia video clip mara tu nitakapomaliza kupiga kura na kurudi home
Mimi nimepigia Kivukoni, Watu wamejitokeza, na nimebahtika kufanya mahojiano kadhaa na wapiga kura baadhi wametoka Kilimanjaro, Tanga, Arusha na mikoa mingine jirani kuja kupiga kura kituo hicho (Most ni former students wa IFM). Vijana ni wengi sana jambo ambalo kimsingi linaashilia ushindi kwa Dr. wa Ukweli.....Tahadhari kubwa sana naomba mwenye contact ya moja kwa moja Dr. Slaa, John Mnyika, Freeman Mbowe au kiongozi yeyote anayeweza kuchukua hatua za haraka kulifanyia kazi hili. Nimekuta na rafiki yangu, roommate wangu chuo, najua kabisa ni kada wa sisiem na mnazi wa kufa, Ni mtu wa karibu sana na Mbunge mmoja wa Bunge la Afrika Mashariki na mmiliki wa chuo fulani huko Chanika kilichonistusha ni kwamba yupo na nyaraka za CHADEMA anadai yeye ndiye kapewa jukumu la kusimamia vituo vyote Maeneo ya Kivukoni, ili kura zetu zisiibiwe na madai yake ni kwamba yupo upande wa kijani kimaslahi zaidi na si kizalendo.....Naomba hizi habari zifike huko na tujiridhishe juu ya mtu huyu isije kuwa tunachezewa mchezo mchafu kwa kuweka imani kwa watu wasiokuwa wenzetu...... i have all his contacts.
mkuu natumai umeshapiga kura yako... hivyo basi nakutakia majibu mema....Chadema hamuishi visingizio na shaka.Ikiwa mumeshindwa kuwajuwa mawakala wenu mpaka hapo.Mukishindwa isitafutwe sababu.Si kwamba mutaibiwa kura bali chama hakiko makini kama vyenzao vya CCM na CUF.
Hata mukishinda nchi itayumba sana na uongozi wenu.
Chadema hamuishi visingizio na shaka.Ikiwa mumeshindwa kuwajuwa mawakala wenu mpaka hapo.Mukishindwa isitafutwe sababu.Si kwamba mutaibiwa kura bali chama hakiko makini kama vyenzao vya CCM na CUF.
Hata mukishinda nchi itayumba sana na uongozi wenu.