Mimi ni Mkazi wa Vikindu Kazole Mtaa wa Cheta Bich, kero kubwa ya huku kiukweli kipindi kama hiki cha mvua barabara haipitiki hata kwa pikipiki hali ni mbaya sana.
Zaidi ya sana natowa wito kwa diwani wetu anaitwa Mahundu angalie kwa jicho la kipekee sana.