Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na kenya tunaomba kwanza tujue umasikin wako wewe na familia yako.
Masikin mna tabu sana
Unajua ccm ruzuku yao ni ngapi?Kama chadema walianza kuchukua ruzuku million 320 tangu jk alipokuwa ikulu na hadi leo wamepanga sisi wenye mishahara ya laki laki tusemeje
Unajua ccm ruzuku yao ni ngapi?
Anyway chadema na hii mada zina uhusiano?
Ndio umaskini mkubwa kuliko wowote ule.Kuna haja ya kujadili umaskin wa akili pia
Kama chadema walianza kuchukua ruzuku million 320 tangu jk alipokuwa ikulu na hadi leo wamepanga sisi wenye mishahara ya laki laki tusemeje
Huko ndiko kelele za ukosoaji hutoka kwa wasio jua hata kujiendesha kimkakati
Unadhani Tanzania hii nani anajiendesha kimkakati,na je,mikakati hiyo ni halali au au si halali.nataka jibu.
Huwezi kuzuia watu waongee hasa kama wanachoongea kina mantiki.Ila kama hakina mantiki basi vema wakashauriwa kupunguza.nadhani sasa tumeelewana.Basi punguzeni kelele maana kila taasisi ni hovyo tu
Kuna haja ya ujiangalia kwanza sisi kuanzia mtu.familia.taasisi na n.kHuwezi kuzuia watu waongee hasa kama wanachoongea kina mantiki.Ila kama hakina mantiki basi vema wakashauriwa kupunguza.nadhani sasa tumeelewana.