Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa kadi namba ngapi kadiri ulivyoiona?Akili za chadema hizi sizishangai,wao ndiye wenye akili sana 🙃
Kwa kadi namba ngapi kadiri ulivyoiona?Akili za chadema hizi sizishangai,wao ndiye wenye akili sana 🙃
Bila umeme stable,how could you run industry successful?,Tanzania wanapenda kujilinganisha na ujinga? Umeme hata south Africa tatizo lakini je uchumi wetu na wao sawa idadi ya viwanda vyao na vyetu sawa embu tuache ujinga bhn
Umepewa mfano wa Afrika Kusini hapo.Waulize hilo swali.Bila umeme stable,how could you run industry successful?,
Katika nchi kila kitu ni lazima kiende ndiyo maana kunaawaziri kwa kila sekta na kuna badget kwa kila sekta/ maana yake kila jambo ni lazima liende kwa kadri ya makusudio yalivyowekwa!...(Kwa ufanisi)Fikra fupi kama ushuzi wa ngedere.
Walipanga lini wataenda kuishangilia Serengeti boys kama siyo mikurupuko na ulafi wa kupeana per diem?Katika nchi kila kitu ni lazima kiende ndiyo maana kunaawaziri kwa kila sekta na kuna badget kwa kila sekta/ maana yake kila jambo ni lazima liende kwa kadri ya makusudio yalivyowekwa!...(Kwa ufanisi)
Bila umeme stable,how could you run industry successful?,
South Wana kampuni binafsi za umeme so wewe ukiwa hutaki umeme wa serikali wa magumashi unafunga kampuni binafsi tu hata tajiri la mamelodi Sundowns anayokampuni ya umemeBila umeme stable,how could you run industry successful?,
Usipime ubovu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mbovu zidi yako#Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!,
#Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo sahihi zaidi kwa rasilimali tulizonazo,
Wenzetu wana mafuta kabisa!,na wameshafanya mapinduzi ya kiserekali mara kadhaa lakini hakuna lolote,let question our self are we right?,au ni uchu tu wa makenge maji,
Code:~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
NIGERIA HAKUNA UMEME, NAJIVUNIA TANZANIA 🇹🇿💃
Ngojeni niwape ka-umbea kidogo leo 😁 Kama hamkujua basi leo mjue… si mnanijua Mama Mally siwezi kukosa story za hawa viumbe 😂
Umeme huku Nigeria ni wa mgao, ila kwa ukweli kabisa unaweza kusema hakuna umeme. Imagine NEPA wakikata umeme leo, wanaweza kurudisha wiki ijayo, mwezi ujao au hata baada ya miezi kadhaa 😭 Kuna wakati nguzo ikiharibika mtaa mzima unakaa miezi sita gizani 😳 Everywhere kimya, ni sauti za majenereta tu zinanguruma mchana na usiku 😭🤣
Sasa kwangu mimi nyumba ipo karibu kabisa na barabara. Nje nina fremu 6 — tano zina wapangaji.
Mmoja kinyozi, mwingine msusi, mwingine fundi nguo, mwingine anauza vifaa vya P.O.P vya ujenzi. Huyu wa P.O.P yeye hata generator haihitaji sana 😁
Lakini kinyozi akipata mteja lazima awashe generator.
Msusi akitaka kuosha nywele, kukausha au kufanya weaving lazima awashe.
Fundi nguo akimaliza kushona naye awashe pasi 😭
Halafu bado mimi huku ndani nikitaka kupampu maji lazima niwashe generator pia 😭
Sasa magari yanapita nje nonstop, humo humo majenereta yanaunguruma… maskio yatabaki salama kweli? 😭🤣
Huku wananchi tumeshazoea maisha ya generator. Lazima ununue mafuta angalau lita mbili kila siku. Mimi nina majenereta mawili:
Moja kubwa — hili ukiwasha unaweza kutumia fridge, kupampu maji na vitu vizito. Nikimaliza kujaza maji nalizima.
Halafu nahamia hili dogo wanaliita “economic generator” 😭🤣
Hili ni la budget kabisa. Ukiwasha unatumia feni, kuchaji simu, taa na blender.
Sasa mafuta lita mbili ukianza kuwasha saa mbili usiku, kufika saa kumi alfajiri generator inazima yenyewe 😭 mafuta yameisha… enjoyment done finish 😂💔
Wanigeria wengi washazoea hali hii kiasi kwamba siku umeme ukiwa stable kila mtu anafurahi kama ameshinda bahati nasibu 😭 Utamsikia mtu anasema:
“And so e suppose be!”
(Yaani: “Hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.”) 😂
Mfano tu wiki iliyopita NEPA wamekuwa wanatupatia umeme kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku, halafu wanakata. Unarudi tena saa 10 alfajiri hadi saa moja asubuhi, then basi tena 😭
Jana nilipopost video watu wengi waliniuliza kuhusu solar.
Wakuu, huku solar ndiyo mpango mzima sasa hivi 😭 Ukiweza ku-afford unafunga tu maisha yaendelee.
Mfumo mdogo wa biashara wenye fridge unaweza kufika mpaka milioni 1.5 za Kitanzania.
Lakini mimi jana nimefunga solar ya nyumba nzima 😭💃
Tukapitisha waya hadi kwenye fremu zote za nje.
Hii solar inapampu maji, tutawasha fridge za ndani, na hata wine shop yangu itatumia fridge bila stress 😭💃 Wapangaji wote wa fremu watatumia pia.
Kwa jumla tumetumia kama milioni 6.5 za Kitanzania 😭 lakini sasa:
✅ NEPA bye bye 👋
✅ Hakuna bili za umeme tena
✅ Hakuna mafuta ya generator tena
✅ Hakuna kelele za majenereta tena 😭💃
Tanzania nyumbani habari 👋🇹🇿
#shanystoryteller #truestory #viralpost
Tatizo bado Wana mentality ya kampuni tena state company, hawaujui kuwa huko nje umeme ni soko huria tu watu wanashindana Kwa huduma boraUmepewa mfano wa Afrika Kusini hapo.Waulize hilo swali.
Hata hivyo Nigeria ni far better kuliko sisi wametuzidi mbali sana wao Wana mpaka kampuni binafsi za umeme ndio anatia mlinganyo huoUsipime ubovu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mbovu zidi yako
Nigeria ni taifa kubwa afrika kumbuka,lenye wasomi wengi sana pia kumbuka,pia lenye rasilimali muhimu sana elewa,liliwahi pata watu wenye uchu kuliko chadema wakafanikiwa kupindua nchi,matokeo yake wakajinufaisha wakatajirika wakaenda zao,mnaigeria akabaki kapukuUsipime ubovu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mbovu zidi yako
Mkuu huyu shany anajiita Nani huko Instagram nimfolo?Tuendele na hadithi za #shany dada yetu aliyelowea huko nigeria/
Nigeria ukiwa mroho utakula hadi usivyokusudia kula ,tena jifanye unajua na unapenda kula nyama ,nikiendaga kwa wakwe zangu kuna sehemu wanauza mishkaki ya kila aina inavutia hatari
Mishkaki ya mbwa,mishkaki ya nguruwe,mishkaki ya nyama pori na nyama ng'ombe halafu yote inashindana kunona na wamejipanga sehemu moja ,wanaochoma waislam kabila ya wahausa(Hausa) sasa we nenda directly waambie wakupe mishkaki hawakwambii ya nyama gani utaenda kupambana mbele ya safari na uroho wako 😁😁😁 ,Kuna siku nikinusurika kula ya mbwa nilipofika sehemu ya kununua nasubiri kufungiwa mara akaja mkaka akaanza lalamika "that yesterday suya ee no be better one o,it seems una never fed dat dog well before kill am"? (Ile mishkaki ya jana sio mizuri Mmbwa mlimchinja inaonekana hakuwa analishwa vizuri )😁😁😁
#shanystoryteller #storytime View attachment 3597636
Ngoja niweke hapa sijui wanaruhusu?Mkuu huyu shany anajiita Nani huko Instagram nimfolo?
Nitumie pm basi mkuuNgoja niweke hapa sijui wanaruhusu?
So hata mtaa anaoishi Aliko na wenyewe hauna umeme? Au nyie ndo mnakaa huko ndani ndani kama wahamiaji haramu mkijificha?#Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!,
#Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo sahihi zaidi kwa rasilimali tulizonazo,
Wenzetu wana mafuta kabisa!,na wameshafanya mapinduzi ya kiserekali mara kadhaa lakini hakuna lolote,let question our self are we right?,au ni uchu tu wa makenge maji,
Code:~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
NIGERIA HAKUNA UMEME, NAJIVUNIA TANZANIA 🇹🇿💃
Ngojeni niwape ka-umbea kidogo leo 😁 Kama hamkujua basi leo mjue… si mnanijua Mama Mally siwezi kukosa story za hawa viumbe 😂
Umeme huku Nigeria ni wa mgao, ila kwa ukweli kabisa unaweza kusema hakuna umeme. Imagine NEPA wakikata umeme leo, wanaweza kurudisha wiki ijayo, mwezi ujao au hata baada ya miezi kadhaa 😭 Kuna wakati nguzo ikiharibika mtaa mzima unakaa miezi sita gizani 😳 Everywhere kimya, ni sauti za majenereta tu zinanguruma mchana na usiku 😭🤣
Sasa kwangu mimi nyumba ipo karibu kabisa na barabara. Nje nina fremu 6 — tano zina wapangaji.
Mmoja kinyozi, mwingine msusi, mwingine fundi nguo, mwingine anauza vifaa vya P.O.P vya ujenzi. Huyu wa P.O.P yeye hata generator haihitaji sana 😁
Lakini kinyozi akipata mteja lazima awashe generator.
Msusi akitaka kuosha nywele, kukausha au kufanya weaving lazima awashe.
Fundi nguo akimaliza kushona naye awashe pasi 😭
Halafu bado mimi huku ndani nikitaka kupampu maji lazima niwashe generator pia 😭
Sasa magari yanapita nje nonstop, humo humo majenereta yanaunguruma… maskio yatabaki salama kweli? 😭🤣
Huku wananchi tumeshazoea maisha ya generator. Lazima ununue mafuta angalau lita mbili kila siku. Mimi nina majenereta mawili:
Moja kubwa — hili ukiwasha unaweza kutumia fridge, kupampu maji na vitu vizito. Nikimaliza kujaza maji nalizima.
Halafu nahamia hili dogo wanaliita “economic generator” 😭🤣
Hili ni la budget kabisa. Ukiwasha unatumia feni, kuchaji simu, taa na blender.
Sasa mafuta lita mbili ukianza kuwasha saa mbili usiku, kufika saa kumi alfajiri generator inazima yenyewe 😭 mafuta yameisha… enjoyment done finish 😂💔
Wanigeria wengi washazoea hali hii kiasi kwamba siku umeme ukiwa stable kila mtu anafurahi kama ameshinda bahati nasibu 😭 Utamsikia mtu anasema:
“And so e suppose be!”
(Yaani: “Hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.”) 😂
Mfano tu wiki iliyopita NEPA wamekuwa wanatupatia umeme kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku, halafu wanakata. Unarudi tena saa 10 alfajiri hadi saa moja asubuhi, then basi tena 😭
Jana nilipopost video watu wengi waliniuliza kuhusu solar.
Wakuu, huku solar ndiyo mpango mzima sasa hivi 😭 Ukiweza ku-afford unafunga tu maisha yaendelee.
Mfumo mdogo wa biashara wenye fridge unaweza kufika mpaka milioni 1.5 za Kitanzania.
Lakini mimi jana nimefunga solar ya nyumba nzima 😭💃
Tukapitisha waya hadi kwenye fremu zote za nje.
Hii solar inapampu maji, tutawasha fridge za ndani, na hata wine shop yangu itatumia fridge bila stress 😭💃 Wapangaji wote wa fremu watatumia pia.
Kwa jumla tumetumia kama milioni 6.5 za Kitanzania 😭 lakini sasa:
✅ NEPA bye bye 👋
✅ Hakuna bili za umeme tena
✅ Hakuna mafuta ya generator tena
✅ Hakuna kelele za majenereta tena 😭💃
Tanzania nyumbani habari 👋🇹🇿
#shanystoryteller #truestory #viralpost
Na ni nchi ya pili Africa kwa uchumi mkubwaWasomi wengi wasio na ajira,ushirika na NEPA wala serikali ndiyo unataka waizalishie Nigeria umeme?Ulinganisho wako ni batili na hauna mashiko.Lakini,kama unampenda sana Lissu unaruhusiwa kumuhusisha na kila kinachokukera.