Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

Tanzania wanapenda kujilinganisha na ujinga? Umeme hata south Africa tatizo lakini je uchumi wetu na wao sawa idadi ya viwanda vyao na vyetu sawa embu tuache ujinga bhn
Bila umeme stable,how could you run industry successful?,
 
Fikra fupi kama ushuzi wa ngedere.
Katika nchi kila kitu ni lazima kiende ndiyo maana kunaawaziri kwa kila sekta na kuna badget kwa kila sekta/ maana yake kila jambo ni lazima liende kwa kadri ya makusudio yalivyowekwa!...(Kwa ufanisi)
 
Katika nchi kila kitu ni lazima kiende ndiyo maana kunaawaziri kwa kila sekta na kuna badget kwa kila sekta/ maana yake kila jambo ni lazima liende kwa kadri ya makusudio yalivyowekwa!...(Kwa ufanisi)
Walipanga lini wataenda kuishangilia Serengeti boys kama siyo mikurupuko na ulafi wa kupeana per diem?
 
Usipime ubovu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mbovu zidi yako
 
Usipime ubovu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mbovu zidi yako
Nigeria ni taifa kubwa afrika kumbuka,lenye wasomi wengi sana pia kumbuka,pia lenye rasilimali muhimu sana elewa,liliwahi pata watu wenye uchu kuliko chadema wakafanikiwa kupindua nchi,matokeo yake wakajinufaisha wakatajirika wakaenda zao,mnaigeria akabaki kapuku
#wenye akili huenda na mifano hai,
Historia hujirudia na hakuna jipya duniani.
 
Tuendele na hadithi za #shany dada yetu aliyelowea huko nigeria/

Nigeria ukiwa mroho utakula hadi usivyokusudia kula ,tena jifanye unajua na unapenda kula nyama ,nikiendaga kwa wakwe zangu kuna sehemu wanauza mishkaki ya kila aina inavutia hatari

Mishkaki ya mbwa,mishkaki ya nguruwe,mishkaki ya nyama pori na nyama ng'ombe halafu yote inashindana kunona na wamejipanga sehemu moja ,wanaochoma waislam kabila ya wahausa(Hausa) sasa we nenda directly waambie wakupe mishkaki hawakwambii ya nyama gani utaenda kupambana mbele ya safari na uroho wako 😁😁😁 ,Kuna siku nikinusurika kula ya mbwa nilipofika sehemu ya kununua nasubiri kufungiwa mara akaja mkaka akaanza lalamika "that yesterday suya ee no be better one o,it seems una never fed dat dog well before kill am"? (Ile mishkaki ya jana sio mizuri Mmbwa mlimchinja inaonekana hakuwa analishwa vizuri )😁😁😁

#shanystoryteller #storytime
 
Mkuu huyu shany anajiita Nani huko Instagram nimfolo?
 
Nachotaka kujua hyo solar ni kampuni gani na watt ngapi?

Lakini GDP ya uko na Tanzania ni tofauti mkuu
 
Jamaa yangu ananiambia iko hivyo sababu biashara ya majenereta ni ya mabingwa, kuna wahuni wanafanya hivyo ili wauze biashara zao..

Kuhusu solar kwa kweli, solar ni mpango mzima.
 
So hata mtaa anaoishi Aliko na wenyewe hauna umeme? Au nyie ndo mnakaa huko ndani ndani kama wahamiaji haramu mkijificha?
 
Wasomi wengi wasio na ajira,ushirika na NEPA wala serikali ndiyo unataka waizalishie Nigeria umeme?Ulinganisho wako ni batili na hauna mashiko.Lakini,kama unampenda sana Lissu unaruhusiwa kumuhusisha na kila kinachokukera.
Na ni nchi ya pili Africa kwa uchumi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…