Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

Chanzo ni ugunduzi wa mafutq lengo ni kuuza mafuta ..wakina dangote wazidi kuwa matajiri ni kama hapa tz mafisadi wa gesi wamezuia bei yaumeme kushuka ili waendelee kutuuzia gesi kupikia ..wakati bwawa la kufua umeme lishakamilika ..Rostam Aziz ni mshenzi sana na wahuni wenzie
 
Ahsante kwa kutuelimisha.
Naomba kujua umefunga system ya kW ngapi?
Kwa bei ya million 6.5 TZS na matumizi uliyotaja naona kama bei sio mbaya sana.
Sijui hapa system kama hiyo inaweza kuwa shingapi hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…