Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

hoja simple kabisa , mnatumia nguv kweny ushoga jambo linalowahusu wachache pia mlikuwa wapo siku zote dhid ya ushoga mpk mpitie na upepo , kwann nguv hz msitumie kweny kutatua kero za raia , ndo jamaa kaonesha kuwa bado tuna matatizo meng afrika mf hayo yanayotokea hapo kweny clip ila tumefumba macho na video ipo mitandaon
 
WALE VIHEREHERE WANAOTETEA MATAIFA YA MAGHARIBI MBONA HAWATETEI NDUGU ZETU WA KARIBU HAWA
UTASIKIA MPUMBAVU MMOJA MI NA NIKO NA PUTIN MARA MI NIKO NA UKRAINE.
kabisa mkuu , hapa waafrika tunaferi
 
ubishi uzaa ujinga , unatafuta hoja za kubisha mpk unakuwa mjinga
 
Ni UPUMBAVU WENU WAAFRIKA. HAMNA AKILI NA NI MANYANI. KWANI NIKIJA KUKUPA WEWE KISU NA MDOGO WAKO KISU KISHA NIKAWAAMBIA GOMBANENI MTAANZA KUGOMBANA? MTAKUWA WAPUMBAVU SANA. MANYANI HAMNA AKILI.
kbs mkuu
 
Fuatilia vizuri...boss hawezi kufagia uwanja wakat ana wafanyakazi...tumia maarifa
 
unajishushia heshima mkuu , hata video haikufungui ubongo
 
Mkuu hujaona mkono wa Wagner(Mrusi) Vs majeshi ya serikali?
Mrusi na Marekani wanachochea vita hii!
Ila sisis waafrka ndio wajinga wakubwa kuwakubalia kututumia kupigana vita kwa ajili yao.
Mwafrika atabeba lawama zote za yanayoendelea afrika , siku waafrika wakiungana na kuacha ubinafs bas hakutokuwa na vita tena
 
Halafu utasikia wana dini hawa!
Ni heri shoga mara 200 kuliko hawa wanyama wenye miguu miwili
Hapo ni wafanyakazi wanampambania boss wa mashoga mafuta ya sudani, yale mafuta ya "Kule wanapopataka" hawawezi kuyapata...na wanayomuuzia "myuropu" yanapungua kwa kasi...hivyo akiba lazma ikusanywe kama Iraq
 
Sasa mtoa mada ndio umeandika nini?,unatoa Uzi bila ufafanuzi.

Kwanza mgogoro upo ni Sudan na sio South Sudan.Waarabu was Sudan ndio wanachapana wao kwa wao.sasa hapo watu weusi wanaingiaje?
Hii habari imenifanya nione kuwa huwenda kuna habari nyingi sana huwa tunakuwa missinformed.

Sudan naifahamu, na kweli kuna mgogoro, ila hauko katika sura hii.

Ila hii video imewekwa hapa watu wameipokea kuwa ndio kweli kinachoendelea Sudan.
 
Hii habari imenifanya nione kuwa huwenda kuna habari nyingi sana huwa tunakuwa missinformed.

Sudan naifahamu, na kweli kuna mgogoro, ila hauko katika sura hii.

Ila hii video imewekwa hapa watu wameipokea kuwa ndio kweli kinachoendelea Sudan.
hiyo ni Sudan Kusini , na hali ni mbaya zaid ya hapo
 
Hapana ni wanawiasa wanagombania madaraka sasa wananchi wanamaliza wenyewe kwa wenyewe..
Sad..
Siku moja kabla ya mapigano alikuepo pale kiongozi wa " " unajua alizungungza nao nini hadi wakapigana...sasa hivi amesema anatuma kikosi cha uokozi wa "raia" wake...hawatatua uwanja wa ndege, watatua mbali na uwanja wa ndege km kilometa 600+ umbali wa kutoka Dar-Dodoma, hicho kikosi cha uokozi kinaendaje kutua mbali hivo na eneo la uokozi?? Keep it in mind,
Boss hafagii uwanja eneo la kazi, wanafagia wafanyakazi...na wafanyakazi ni hao uliowaona kwa clip..
 
hiyo ni Sudan Kusini , na hali ni mbaya zaid ya hapo
Ukanambia Sudan kusini naweza kukukubalia ila sio hii Sudan ya Bashir.

Ila hii ni mbaya sana asee, ni ukatili.
 
unaonesha kiwango kidogo sana cha akili , kwahiyo Marekan akiwapa silaha ndo mnauana ? inakuwa ndo ruksa kuuana? kisa hamtengenez silaha ?
 
unaonesha kiwango kidogo sana cha akili , kwahiyo Marekan akiwapa silaha ndo mnauana ? inakuwa ndo ruksa kuuana? kisa hamtengenez silaha ?
Kiwango cha akili yko ni kikubwa sana ndio maana unajua mtu akipewa silaha anaenda kupikia ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…