Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Sudan hawana rasilimali za kushawishi mataifa yenye nguvu kuingilia vita Yao, Kipindi Gaddafi anaandamwa na upinzani haraka sana USA aliingilia na kujifanya anatetea Raia huku mafuta yakisombwa mapipa kwa mapipa.

Lazima Africa tufikirie kutatua matatzo yetu wenyewe kwa maana tutasimamia ukweli sio u ndumilakuwili wa nchi za Magharibi.

Kwa hiyo AU ijitafakari, bila wao kuleta amani Africa Kuna haja gani ya kua na umoja wa kuweka tu vikao na kula posho za wanacnhi maskini wa bara hili?
 
Wanasema kuuliza si ujinga. Lakini hii sasa isikupe kibali cha kuuliza maswali ya kipumbavuh 😁
Nimekuuliza hoja yako hasa ni nini maana content ya Uzi hauendani na video uliyoiweka.wewe umesema hali ni mbaya huko Sudan-video uliomabatanisha sio ya huko Sudan ambapo hali ni mbaya.

Maana kama ni machafuko ni huko Sudan kwa waarabu,video uliyoweka ni ya waafrika ambao hawapo Sudan.
Sasa hoja yako ni nini?
 
Hii habari imenifanya nione kuwa huwenda kuna habari nyingi sana huwa tunakuwa missinformed.

Sudan naifahamu, na kweli kuna mgogoro, ila hauko katika sura hii.

Ila hii video imewekwa hapa watu wameipokea kuwa ndio kweli kinachoendelea Sudan.
Ndio maana na muuliza huyo jamaa mgogoro uliopo ni kwa waarabu wa Sudan na sio South Sudan kwa Waafrika-kwa nini aweke picha ya Waafrika wa South Sudan na kusema kuwa machafuko yanayoendelea?
 
Kamata mashoga wote, peleka front line Sudan huko wakafwe
Ukute unatembea na mume wa mtu
Ukute ni mwizi
Ukute ni msengenyaji
Ukute yaani una midhambi yako mengine uko...

Dunia hii.

We are all equal but some people think are more equal.

#YNWA
 
jitathimin mkuu , kwamba ukipewa silaha kitu cha kwanza ni kuua tu hovyo hovyo bila mpango ? n unataka tumlaumu aliekupa silaha sio wew unaeua ? sorry kama nmetumia lugha ngumu
Wewe ukigombana na mkeo ukaacha kumpa matumizi then mshanzi mmoja akawa anamgonga na kumpa matumizi usitegemee mkeo kama atakusikiliza tena and utakuwa mgogoro mkubwa sasa hapo wewe utakuwa mjinga kwa sababu unafanya mgogoro na mkeo
 
Ndio maana na muuliza huyo jamaa mgogoro uliopo ni kwa waarabu wa Sudan na sio South Sudan kwa Waafrika-kwa nini aweke picha ya Waafrika wa South Sudan na kusema kuwa machafuko yanayoendelea?
Anataka kupotosha, na usikute wala hajui alitendalo.
 
unajishushia heshima mkuu , hata video haikufungui ubongo
Unahisi wale jamaa wamejituma wenyewe au wametumwa na mkubwa fulani...? Sasa huyo mkubwa ndio kawatuma wafanye hivo

NB unasema jamaa zako hawahusiki, angalia picha...
 

 
Unahisi wale jamaa wamejituma wenyewe au wametumwa na mkubwa fulani...? Sasa huyo mkubwa ndio kawatuma wafanye hivo

NB unasema jamaa zako hawahusiki, angalia picha...View attachment 2595942
Umesoma ukaelewa? Hii lugha ya malkia wengi inawapiga chenga. 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…