Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Unahisi mauaji na utekaji kukoma ni kutokana na Serikali ya CCM kushinda ushindi wa kishindo hivyo kudhoofisha upinzani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika walisoma bure,Watu walisoma bure
Viwanda vilijengwa
Elimu ilikuwa bora
Watu kama hawa wakiwepo katika jamii ujue jamii imeumia.....
Unafiki bhana shida sana.....
Unajifanya kama vile hajui watu wangapi wameuawa wamekamatwa na wanaendelea kukamatwa tangu kabla na baada ya uchaguzi....
Tafuta hotuba ya Mh Warioba na Jenerali Ulimwengu usome
Waliitoa siku ya kuadhimisha haki za Binadamu
Hakika walisoma bure,
Ubora upi unamaanisha wasomi wakesi haohao wameingia mikataba ya ovyoovyo.
Wameua viwanda,pale nangurukuru walipewa mitambo na vifaa na Japan walishindwa kujengwa barabara mpaka vikaoza.
Katika fani za ufundi zilikuwa ovyo kabisa theory tu.
Udsm mpaka anaondoka wahitimu hawafiki hata 4000.na chuo kikuu kimoja hicho.
Mpaka anaondoka Lindi hakukuwa na sekondari ya serikali.
See
Ruvuma alijenga 2 tu.
Mtwara mkoa labda 4.
Hivyo viwanda vilikufa bila kuwachukulia hatua wauaji!
Chama chake wasomi wake ambao inadaiwa walipata elimu Bora.WALIINGIA HIYO MIKATABA NYERERE AKIWA UTAWALANI?
hata Ulaya ni hivi hivi, niambie nchi gani ambayo watu hawalipi kodi.
Duh nimekuelewa hapa. Na nadhani tuna misimamo inayofanana katika hili. Japokua watu wengi watakupinga kwamba we ni mlamba viatu tu ila kuna ukweli katika bandiko hili.Kuhusu uchumi bado sana, naona anahangaika sana, nafikiri mbinu anazotumia hazitamsaidia sana zaidi ya kuumiza Watanzania.
Nilishawahi kumuandikia waraka, nikasema, ili nchi tuondoe umasikini kwenye taifa hili lazima tujue umasikini huu tutaupeleka wapi, huwezi kuondoa umasikini bila kunyonya watu, sasa ni lazima achague kunyonya watu wa nchi yake au tuvamie nchi za wenzetu. Nilipendekeza tuvamie nchi za wenzetu tuwapelekee umasikini wetu, ujinga wetu na maradhi.
Wazungu wasingeendelea kama wasingetuletea umasikini wao, maradhi yao na ujinga wao.
Mimi ni mdogo lakini hayo mambo madogo sishindwi kung'amua
Mwandishi mbona hufanyi panctuation vizuri? Unatiririka vizuri sana sema ukiwa kama muandishi sijui mwandishi there are high standards I expect to see coming from you.Dini zifutwe
Demokrasia iondolewe jamii bado masikini na jinga.
Hivi huoni watu wanavyotumia uhuru vibaya?
Huko ulaya ilipoanzia dini na demokrasia unaijua historia yake?
Embu kasome mada isemayo; Rise of Democracy in Europe
Utanielewa, vinginevyo hakuna cha maana nitakachoweza ongea na wewe ukiwa huna ujualo kwa habari hizo.
Demokrasia kwa nchi masikini ni mtego
Dini kwenye masikini au familia masikini ni utumwa
Kuhusu Teuzi nimeshakuambia mimi ni MTEULE, ukishaelewa hiyo istilahi huna haja ya kuongea upuuzi wako.
Anayeteuliwa ni mtu ambaye hakuwa mteule na ndio maana wengi huimba mapambio, kusifu na kuabudu na kumfanya jpm kama mungu.
MTEULE hana muda huo
Utawezaje kuuimba wimbo wa Bwana ukiwa ugenini/ Utumwani?
Halafu akajipa jina jipya kwa kulikataa jina na dini ya kigeni, akajiita Kuku ya Zabanga Mobutu Sesseseko, huyu ndiye Rais mwenye kulinda uzalendo Afrika ambaye alijenga kasri na uwanja wa ndege kijijini kwake...Dini zifutwe
Demokrasia iondolewe jamii bado masikini na jinga.
Hivi huoni watu wanavyotumia uhuru vibaya?
Huko ulaya ilipoanzia dini na demokrasia unaijua historia yake?
Embu kasome mada isemayo; Rise of Democracy in Europe
Utanielewa, vinginevyo hakuna cha maana nitakachoweza ongea na wewe ukiwa huna ujualo kwa habari hizo.
Demokrasia kwa nchi masikini ni mtego
Dini kwenye masikini au familia masikini ni utumwa
Kuhusu Teuzi nimeshakuambia mimi ni MTEULE, ukishaelewa hiyo istilahi huna haja ya kuongea upuuzi wako.
Anayeteuliwa ni mtu ambaye hakuwa mteule na ndio maana wengi huimba mapambio, kusifu na kuabudu na kumfanya jpm kama mungu.
MTEULE hana muda huo
Utawezaje kuuimba wimbo wa Bwana ukiwa ugenini/ Utumwani?
Ili atafutwe apewe uteuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi namba huwa mnaziandika za kazi gani?
Hapo kwenye Club nakataa, labda useme sio mpenzi wa michezo yeyote.
Kitendo cha kua mpenzi wa mchezo wowote, lazima kuna kundi (club) ambayo utaiunga mkono.
Halafu akajipa jina jipya kwa kulikataa jina na dini ya kigeni,akajiita Kuku ya Zabanga Mobutu Sesseseko,huyu ndiye rais mwenye kulinda uzalendo Afrika ambaye alijenga kasri na uwanja wa ndege kijijini kwake...
Kusaka teuzi.ukinisujudia na kuniabudu nitakupa milki ya dunia hiiHizi namba huwa mnaziandika za kazi gani?