Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

Unahisi mauaji na utekaji kukoma ni kutokana na Serikali ya CCM kushinda ushindi wa kishindo hivyo kudhoofisha upinzani?
 
Watu walisoma bure
Viwanda vilijengwa
Elimu ilikuwa bora
Hakika walisoma bure,
Ubora upi unamaanisha wasomi wa kesi hao hao wameingia mikataba ya ovyo ovyo.
Wameua viwanda, pale Nangurukuru walipewa mitambo na vifaa na Japan walishindwa kujengwa barabara mpaka vikaoza.

Katika fani za ufundi zilikuwa ovyo kabisa theory tu. UDSM mpaka anaondoka wahitimu hawafiki hata 4000 na chuo kikuu kimoja hicho. Mpaka anaondoka Lindi hakukuwa na sekondari ya serikali.

See:
Ruvuma alijenga 2 tu.
Mtwara mkoa labda 4.
Hivyo viwanda vilikufa bila kuwachukulia hatua wauaji!
 
Reactions: BAK
Ahsante sana Mkuu 🙏🏽👍🏽
 

WALIINGIA HIYO MIKATABA NYERERE AKIWA UTAWALANI?
 
Duh nimekuelewa hapa. Na nadhani tuna misimamo inayofanana katika hili. Japokua watu wengi watakupinga kwamba we ni mlamba viatu tu ila kuna ukweli katika bandiko hili.

Vita lazima ipiganwe kwa namba yoyote. Na katika ulimwengu huu wa kibepari huwezi kuongelea kuwa tajiri bila ya mwingine kuwa masikini. Lazima mtu anyonywe/aumie ndo wewe unyanyuke. Akili kumkichwa ni kwamba nani wa kumuumiza sasa

Na pia nakula kudos nadhani we ni muandika makala pekee ambaye unaandika na kurudi humu kwenye mjadala kuzitetea. Wengi huwa wanaandika wanakimbia mjadala. Hongera sana
 
Mwandishi mbona hufanyi panctuation vizuri? Unatiririka vizuri sana sema ukiwa kama muandishi sijui mwandishi there are high standards I expect to see coming from you.
Samahani kama nimekukwaza
 
Halafu akajipa jina jipya kwa kulikataa jina na dini ya kigeni, akajiita Kuku ya Zabanga Mobutu Sesseseko, huyu ndiye Rais mwenye kulinda uzalendo Afrika ambaye alijenga kasri na uwanja wa ndege kijijini kwake...
 
Hapo kwenye Club nakataa, labda useme sio mpenzi wa michezo yeyote.

Kitendo cha kua mpenzi wa mchezo wowote, lazima kuna kundi (club) ambayo utaiunga mkono.

Anaposema club anamaanisha Simba au Yanga. Kwa sasa Watanzania wamewekewa mazingira ya kujadili Simba na Yanga tu. Upande mwingine ni aidha usifie au ukae kimya. Kitendo chochote cha kuwa mkosaji jiandae kutekwa, kifo ama kubambikiwa kesi.
 
kwa mara ya kwanza UMENIANGUSHA MKUU...NIMEJISIKIA AIBU SANA MR ROBERT.

UNAMSIFIA MTU ASIYEWEZA HATA KUTUNGA SENTENSI MOJA YA KIINGEREZA PHD.?
 
Reactions: BAK
"MIMI UKINISHAURI NDIO UMEHARIBU KABISAA MAANA SITOFANYA KILE UNACHONISHAURI".

"MIMI SIPANGIWI"

JOHN POMBE MAGUFULI
 
Reactions: BAK
Pumba tupu plus utopolo from hidden Lumumba , Mapungufu ya Zanzimana ni mengi sana yaani , hata umpe miaka mia kwa IQ aliyonayo hawezi kufikisha nchi popote , miaka mitano tu imemtoa jasho , kuajiri tu kashindwa huku watumishi wakistaafu na kufa kila mwaka , mapengo yao yanazibwa na nani ? Hata kulipa tu wastaafu kashindwa , Hivi we Pimbi wa Lumumba unaishi Tanzania gani ya uchumi wa kati wa kusadikika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…