Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuweke sawa hayo magari yasiyobridi ni ya aina ganiWana JF apend kufahamu magari ya kijapan yenye kutumia mafuta na umeme hapa bongo kama yapo na uendeshaji wake (gharama) za kuyafanya yaendelee kuwepo barabarani ikoje.
Ziko harrier na Toyota Prius zote zinafanya vizuri,jambo la mhm upate fund mzuri wa Umeme hasa pale inapohitaji electrical maintenance. .....na gharama.Gari hizo zipo. Ni hybird zinazotumia nishati ya mafuta na umeme ambao unatoka kwenye betri kubwa maalum lililopo katika gari.
Kwa niliyoiona ni Toyota Prius hybird
Ni kweli Kabisa. Hasa hii Toyota Prius iko njema Sana,hata kuiagiza pia n cheaper.Zimeanza kuongezeka. Fuel consumption yake ni nzuri mno.
PichaNi kweli Kabisa. Hasa hii Toyota Prius iko njema Sana,hata kuiagiza pia n cheaper.