Hali ikoje kwa Magari Hybrid hapa Bongo?

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Wana JF apend kufahamu magari ya kijapan yenye kutumia mafuta na umeme hapa bongo kama yapo na uendeshaji wake (gharama) za kuyafanya yaendelee kuwepo barabarani ikoje.
 
Gari hizo zipo. Ni hybird zinazotumia nishati ya mafuta na umeme ambao unatoka kwenye betri kubwa maalum lililopo katika gari.

Kwa niliyoiona ni Toyota Prius hybird
 
Mkuu tuweke sawa hayo magari yasiyobridi ni ya aina gani
 
Gari hizo zipo. Ni hybird zinazotumia nishati ya mafuta na umeme ambao unatoka kwenye betri kubwa maalum lililopo katika gari.

Kwa niliyoiona ni Toyota Prius hybird
Ziko harrier na Toyota Prius zote zinafanya vizuri,jambo la mhm upate fund mzuri wa Umeme hasa pale inapohitaji electrical maintenance. .....na gharama.
 
Back
Top Bottom