Hali ilivyo baadhi ya Mitaa ya Dar asubuhi ya Julai 7, 2026

News Tz1

Member
Joined
Nov 28, 2025
Posts
82
Reaction score
110
Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam yalivyo asubuhi ya Julai 7, 2026.

Your browser is not able to display this video.

Hali hiyo inatokea ikiwa kuna tetesi za kufanyika kwa maandamano. Hata hivyo Serikali kupitia mamlaka zake zimepiga marufuku huku ulinzi mkali ukiwa unaendelea kushuhudiwa kwa kipindi cha takribani wiki mbili katika maeneo ya Jiji hilo.

Pomaja na hivyo mamlaka zimekuwa zikiwaondoa hofu wananchi na kuwataka wawe chachu ya amani .

Your browser is not able to display this video.

Hayo yanatokea ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyabiara 7\7 ambayo uambatana na maonesho makubwa ya kimataifa ambayo tayari yamezinduliwa hivi karibuni.
 
Kwa hali bora ushinde tu uchaguzi kwa haki. Mbona haya sasa ni mateso. Nanenane wakitangaza tena kuandamana, unawasambaza wavaa magwanda wako barabarani kuwasubiria waandamanaji wasiojulikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…