maandamano 7 7

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo akizeeka atahadithia wajukuu zake yeye ndiye mwanaume pekee aliyezuia maandamano ya 7/7

    Hamjambo! Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana. Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake. Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Upuuzi uliopangwa wa 7/7 umeshindwa kwa jina la Yesu. Tujielekeze kwenye mambo ya msingi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewapongeza Watanzania kwa kuendelea kulinda amani, utulivu na mshikamano wa nchi huku wakipuuza wito wa baadhi ya watu wanaochochea vitendo vya kuwapeleka wananchi barabarani badala ya kujikita katika shughuli za uzalishaji na kukuza uchumi...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maandamano haramu ya CHADEMA yakwama, wananchi wadinda kujitokeza kufanya ghasia, waendelea kuchapa kazi zao kama kawaida kwa amani

    Licha ya hali ya hewa kua na mvua za hapa na pale maeneo mengine ya Dar Es Salaam, hali ya kiusalama ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida, NYOMI LA SABASABA SIO LA KITOTO, huku mtaani maduka yakiwa yamefunguliwa kama kawaida watu wakipata mahitaji yao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

    Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA. Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in Tanganyika.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo baadhi ya Mitaa ya Dar asubuhi ya Julai 7, 2026

    Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam yalivyo asubuhi ya Julai 7, 2026. Hali hiyo inatokea ikiwa kuna tetesi za kufanyika kwa maandamano. Hata hivyo Serikali kupitia mamlaka zake zimepiga marufuku huku ulinzi mkali ukiwa unaendelea kushuhudiwa kwa kipindi cha takribani wiki mbili katika maeneo ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kamonga: Maeneo mengine Vijana wanawaza kuandamana, sisi wananchi wa Ludewa wanawaza kuvuna mahindi

    Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga, amesema wakazi wa Ludewa wameendelea kuweka juhudi kwenye kilimo hususani cha mahindi na kuiomba Serikali kuendelea kufikisha fedha kwenye wilaya hiyo ili kuboredha miundombinu ikiwemo ya barabara. Kamonga ameeleza hayo wakati akizungumza...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kujibu tetesi za maandamano ya 7/7, tusipoteze rasilimali pesa na muda kujiandaa kupambana na upepo

    Hakuna Mtanzania ataweza kufanya maandamano haramu kwa miaka 20 mbele kuanzia Oktoba 29 2025. Hakuna. Hayupo huyo mtu na hatakuwepo. Kilichowapeleka barabarani Oktoba 29 ni trick za uzushi na uongo za ma activists uchwara ambao almost siku ya maandamano walikuwa nje ya nchi na wengine wakiwa...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7 ni ya umma chini ya uratibu wa wanaharakati wapigania haki. Hata hivyo, tunayaunga mkono kwa sbb madai yao ni madai yetu

    Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali... Mange Kimambi yuko sahihi na ana haki kuwa na wasiwasi huu kwa kuwa anaijua na kuielewa vyema nguvu ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania David Misime: Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanahamasisha kuchoma shule, kukata watu vichwa na kupora Askari silaha

    Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanaamasisha kuleta Vurugu, kuchoma Shule, kushambulia wananchi, Kukata watu Vichwa na kuua baadhi ya watu, na kuvamia kupora askari silaa” - DAVID MISIME, MSEMAJI WA JESHI LA POLISI
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

    Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;- A:Viongozi wa waandamanaji;- 1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Sijui jambo gani litatokea Saba Saba, kwa sababu ukiongea tu kuhusu amani posti yako haipati wasomaji

    Hatuna wasi kuhusu Saba Saba. Lakini October 29 pia hatukuwa na wasiwasi, lakini ikatokea balaa iliyotokea. Mpaka sasa watu wanaongea tu inaonekana hawajaamua wafanye nini Saba Saba. Tunasubiri kuona tarehe italapokaribia.
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RPC Mutafungwa: Tunachunguza wa kuwasaka wanaosambaza vipeperushi vyenye ujumbe wa kuhamasisha vurugu na uchochezi kuelekea 7/7

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Wilbrod Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa kuwasaka wote wanaosambaza vipeperushi barabarani, vikiwa na ujumbe wa kuhamasisha vurugu na uchochezi na vitendo vya uvunjifu wa amani...
Back
Top Bottom