Mwaipopo akizeeka atahadithia wajukuu zake yeye ndiye mwanaume pekee aliyezuia maandamano ya 7/7

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Mimi nawajua waafrika wengi wakizeeka stori zao. Kamba nyingi sana.

Kama namwona Mwaipopo akiwa mzee amekaa na wajukuu zake na watoto wa mtaani kwake akiwahadithia enzi zake.

Zaidi ni kuwa zama hizo atatumia ushahidi wa video zilizopo mtandaoni jinsi alivyoongoza kikosi cha sijui chui weusi, sijui mbwa mwitu.

Soma Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao

Jinsi walivyoendesha operation ikafanikiwa.

Mwaipopo katika stori zake na wajukuu atasema baada ya kuona Maandamno ya MO29 jinsi yalivyo na madhara, akaona hatakubali. Na uwezo wake mkubwa wa kikomandoo(hapa lazima awadanganye kwamba ukomandooo wake aliupata Urusi).

Wajukuu zake watamuamini hasa ukizingatia anaushahidi wa video.

Mwaipopo atasema, hakuna watu waliokuwa wanamuogopa kama Heche, Lema, na wanaharakati na ndio maana walishindwa kuingiza watu barabarani.

Kama mjuavyo stori za Babu na wajukuu. Mwaipopo anakitu cha kuwahadithia wajukuu zake. Hata kama kitakuwa na chumvi nyingi.

Sijajua upande wa Mwandambo, hakika sijajua.

Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mafwele na Murilo wako likizo?
 
Makebo yake
 
1784899305873.png
... hata Kishimbe wa Kishimbe anajua hivyo! 😅
 
Kitendo cha kumu overate Mwaipopo, shekhe FEKI wa Mwakaleli , kinaeleza uwezo wako kiakili.
 
Back
Top Bottom