Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia