Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania
 
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere.
 
Kuwaruhusu masikini waandamane ni kulipa Taifa umasikini. Masikini ukimruhusu aandamane anaweza akaibe nini, amkomoe nani anaejifanya kafanikiwa, amfanye nini yule mbaya wake na ujinga mwingine mwingi.

Tunaona kilasiku Kenya wanaandamana, ila katikati ya maandamano unazuka wizi wa ajabu ambao unawarudisha nyuma wafanyabiashara wengi sana.
Wanaotaka kuandamana 7/7 waiteni Waulize wanataka nini tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kukaa mezani lakini viburi na jeuri vitapeleka nchi pabaya itashindwa kutawalika. Jiulize swali wananchi wakitoka mkawapiga risasi hiyo 7/7 itakua ndo solution plus October 29 mtaua watu wangapi mtapeleka nchi kutotawalika nchi itajaa visasi juu ya visasi . Tu Waulize wanaotaka kuandamana 7/7 tukae
 
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-

A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka

2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano

3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao

B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria

2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita

3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.

Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Hatimaye Serikali imekusikia, itatoa ulinzi n.a. kulinda Maandamano ya Amani , muda mfupi ujao itatoa tangazo
 
Wanaotaka kuandamana 7/7 waiteni Waulize wanataka nini tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kukaa mezani lakini viburi na jeuri vitapeleka nchi pabaya itashindwa kutawalika. Jiulize swali wananchi wakitoka mkawapiga risasi hiyo 7/7 itakua ndo solution plus October 29 mtaua watu wangapi mtapeleka nchi kutotawalika nchi itajaa visasi juu ya visasi . Tu Waulize wanaotaka kuandamana 7/7 tukae
Umeninukuu tujifunze kusikilizana watu waliostarabika ukaa mezani na kujadili mstakabali wa nchi yao lakini ubabe ubabe hauna maana na risasi hazichagui wa kupiga siku wakipigwa ndugu na jamaa na marafiki ambao wako kwenye vyombo vya dola nini kitafuata unatengemea vyombo vya dola wa Askari wa chini kukosa morali maana watakua wameumizwa nao kwa kuuliwa ndugu zao dada zao mama zao kaka zao kitachofuata ni kitu kibaya. Tukae mezani tuwaulize wanataka nini IRAN na USA wamepigana weee mwishoni wanamaliza vita kwa maongezi tujifunze kumaliza matatizo ya Taifa letu kwa maongezi hakuna aliyemkubwa kuzidi taifa sisi tutaondoka taifa tutaliachia wajukuu zetu suala tunaliachaje kwenye visasi?
 
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-

A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka

2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano

3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao

B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria

2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita

3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.

Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Mwachambwa anasema atakayeandamana atakiona. Ma ccm mpumbavu sana.
Walisema uchaguzi utafanyika kwa kuwa ni jambo la kikatiba.
Eanasema maandamano ya 7/7 ni haramu japo kuandamana Nako ni jambo la kikatiba. Unaelewa nn Toka kwa wapumbavu Hawa wanaojiita waheshimiwa???
 
Kuna raha Gani ya kutawala watu wasiokuunga mkonooo?tu kwakuwa uliwauwa ndugu zao hapo October 29?kama kweli alichaguliwa kwa kura za kihistoria anaogopa nn hata kuwaweka wanajeshi stand by humo makambini?
 
Nakumbuka maandamano ya 2001 kule visiwani kabla ya siku mbili Mzee Warioba aliwasihi polisi wayaruhusu na watoe ulinzi kwani wataandamana na mabango yao na kutoa nyongo zao baada ya hapo kila mtu atarudi kwake, polisi wakadharau ushauri ule na wakaamua kutumia risasi za moto kuzuia maandamano na wote tulishuhudia kilichotokea.
 
Una akili hiki ndo nilikua nazungumiza hapa wakiruhusu watu kuandamana impact itakua ndogo sana kuliko kuyazuia yakisharuhusiwa tu hata waandamanaji wanaweza kua wachache sana
Tatizo hakuna anayejitokeza kutoa taarifa rasmi. Hata CDM wenyewe wanaogopa kutoa taarifa
 
So ni maandamano yasiyo na taarifa rasmi. Ni watu kuanzisha popote watakavyokubaliana. Muuza duka la simu anafungua Asubh anashtukia tu watu hao mlangoni wanaandamana.
Simu
Kitu gani buana
Unajua maana sasa hivi bei ya iPhone 6 + kwa sasa unaweza kufananisha na uhai wa watu
 
Back
Top Bottom