Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

Maandamano ya 7/7 yaruhusiwe na Serikali na kupewa ulinzi

So ni maandamano yasiyo na taarifa rasmi. Ni watu kuanzisha popote watakavyokubaliana. Muuza duka la simu anafungua Asubh anashtukia tu watu hao mlangoni wanaandamana.
Hiyo ni uharibifu na wizi, hautakiwi
 
Wanaotaka kuandamana 7/7 waiteni Waulize wanataka nini tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kukaa mezani lakini viburi na jeuri vitapeleka nchi pabaya itashindwa kutawalika. Jiulize swali wananchi wakitoka mkawapiga risasi hiyo 7/7 itakua ndo solution plus October 29 mtaua watu wangapi mtapeleka nchi kutotawalika nchi itajaa visasi juu ya visasi . Tu Waulize wanaotaka kuandamana 7/7 tukae
Hii ID imedukuliwa au huwa kuna muda unakua sawa kichwani na muda mwingine unajitoa ufahamu?

Maana nimerudia kusoma mara mbili ulichoandika ni tofauti na unachokisema siku zote kuhusu October 29.

Leo umesimama kwa uhalisia juu ya October 29 ila siku nyingine nadhani huwa unajitoa ufahamu.
 
Utanielewa taratibu, mimi sitaki kudai haki kwa vurugu
 
Hakuna aliyedai haki kwa vurugu , akina Master Tindwa hawakufanya vurugu na waliuwawa na mimi nilikua against mauaji hata hao waandamanaji walioandamana hawakustahili kupigwa risasi .
Ile ilikuwa hamna namna, yale magenge ya hooligans yasingeweza kutulizwa kwa maji ya washawasha au risasi za machozi. Don't be hypothetical
 
Tatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TEC
Watoe taarifa wakamatwe? Ama unadhani hatujui aina ya utendaji kazi wa hilo jeshi robot?
 
Ndiyo dawa yao hiyo. Fools never learn until when they reach the school of hard knocks
Huo sio utawala wa sheria, ndio maana hadi sasa mnahaha kusema mnataka "maridhiano" na hamjui mnaridhiana na nani na kwa sababu ipi.

Mtoto hadi wa miaka 2 anapigwa risasi unasema huyo ni kibaka?
 
Back
Top Bottom