Ok, basi waingie tu road bila kujulikana ni kikundi ganiUnajitaka hujitaki? Yani ujipeleke kwamba we ndio mratibu na kiongozi wa maandamano halafu utegemee utaishi ili uione kesho kwenye mazingira haya ya sasa. Uwongooo

Hatawakitoa taarifa ni kama hawakutoa sa100 anaogopa mabango kuliko UTITatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TEC
Viongozi wao walikua akina nani?Viongozi wao walikuwa na mabomu yakutengengeneza kienyeji na petroli maarufu kama molotov
Wapi nimesema CHADEMA imewafadhili katika sentensi yangu?Kumbe wanafadhiliwa na CHADEMA?
Waliongozaje ?Maria Sarungi, MangeKimambi, Heche, Gwajima, Boniface Jacob, Padre Kitima
Ni kweli maandamno yapo kwenye mitandao ya Jamii; Twitter, Instagram, JF etc.Binafsi siamini kama kuna maandamano yoyote yatafanyika mana tofauti na kuongelewa na wanaharakati mitandaoni, hamna mahali pengine popote nimeskia mtu anaongea.
Mtu ataandamana vipi na alikua hajui chochote. Wakati huo huo kumbukumbu za oct29 bado mbichi kabisa. Sioni maandamano.