Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Bora useme wewe, nikisema mie nitaitwa majina yote, nilidhani humu jf kungekua kimyaaa leo wote wapo kwenye maandamano ila wamejificha vyumbani wakina na simu zao kuikandia serikali.
Wanataka watu wakawaandamie ili wao waendelee kula totoz na kupiga gambe , JF kuna wapiga Domo wengi sana tena wengine Platinum member kabisa.
 
Back
Top Bottom