Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Bora useme wewe, nikisema mie nitaitwa majina yote, nilidhani humu jf kungekua kimyaaa leo wote wapo kwenye maandamano ila wamejificha vyumbani wakina na simu zao kuikandia serikali.
Muda bado subiri tunywe chai na supu chapati za pilipili tushibe soon utapata taarifa nishaanza kusikia road kumechangamka
 
Mi nashangaaga VIONGOZI WA chadema Kwa nini wasingekuwa mistari WA mbele kuandamana , ukifika muda WA maandamano hawaonekani kabisa
 
Ni huzuni sana kwa serikali inayoongozwa kwa vitisho vya maandamano...Leo TANTRADE inakula hasara kimapato maana hakuna viingilio vya watu huko 7/7 kama ilivyozoeleka miaka ya nyuma maana hakuna mzazi mwenye akili timamu atatoa watoto wake leo...naunga mkono waandaaji wa haya maandamano wamefanikiwa kwa asilimia 97.kuitikisa serikali
Ujinga ni gharama.
 
Mi nashangaaga VIONGOZI WA chadema Kwa nini wasingekuwa mistari WA mbele kuandamana , ukifika muda WA maandamano hawaonekani kabisa
Chadema ina watu smart.
Hawawezi kujiingiza kwenye michezo ya kijinga ya kuwatafutia watu ulaji.
 
Mtu yupo ndani anajiamulia tu kuandika..
Wakati watu tupo na madumu road huku tunazunguka
 
Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA.
Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in Tanganyika.
Hakika
 
Eri "mashoga"! Wewe ndiye "basha " wao!? Unajifanya kuwasingizia watu ushoga a wakati wewe mwenyewe kwa chini "unagongwa". Kama Zanzibar ipo na Tanganyika ipo mpumbavu wewe kibaraka wa Ki_zanzibar.
Vipi maandamano huko kamanda, yanaendelea?!!!!🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana nimesema hamujitambui, jeshi anayejielewa hawezi kamwe kutii amri haramu.
"Members of the armed forces are bound to obey only lawful orders... an order that is manifestly illegal is not a lawful order and must not be obeyed."
Kuzuia vibaka sio amri haramu, ni halali kabisa.
 
Amani au upumbavu.

Amani ni Neema ambayo Mola wetu Mlezi Ameruzuku. Tumshukuru Mola wetu Mlezi kwa kuturuzuku Neema hiyo na tuihifadhi Neema hiyo. Usiichukulie Neema ya Amani na Utulivu uliopo for granted na kuidharau.
 
Amani ni Neema ambayo Mola wetu Mlezi Ameruzuku. Tumshukuru Mola wetu Mlezi kwa kuturuzuku Neema hiyo na tuihifadhi Neema hiyo. Usiichukulie Neema ya Amani na Utulivu uliopo for granted na kuidharau.
Hakuna amani Tanzania kuna utulivu tu.

Tena utulivu wenyewe tulionao ni very fragile.

Amani ya askari kutembea na mitutu kutisha raia mitaani?

Huwezi kuwa na amani kama watu wanadhulumiwa uhai na kupotezwa.

Katu amani ya hivyo haidumu.
 
Back
Top Bottom