Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Maduka yamefungwa sababu leo ni sikukuu ya 77
Lini yaliwahi kufungwa kwasababu ya 7/7?

Miaka yote maduka kipindi hiki ndiyo yanauza kwelikweli maana watu wanaofanya shopping huongezeka mara dufu kipindi cha saba saba.

Hatufurahii hali hii ila ukweli ni kwamba shughuli nyingi zinasimama kwasababu ya tishio la GenZ.

Kuna haja ya kutafuta ufumbuzi wa jambo hili maana huku mtaani nimeamka kufuata mahitaji fulani nashangaa fremu zote zimefungwa wakati kwa kawaida kuanzia saa 12 asubuhi biashara zinachangamka.
 
Ndio maana nimesema hamujitambui, jeshi anayejielewa hawezi kamwe kutii amri haramu.
"Members of the armed forces are bound to obey only lawful orders... an order that is manifestly illegal is not a lawful order and must not be obeyed."
Hilo takataka haliwezi kukuelewa
 
Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA.
Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in Tanganyika.
Mimi nilitarajia waandamanaji hawataogopa hao askari waliojazwa road, kumbe imekuwa kinyume chake.
Waandamanaji wamewakwepa askari halafu wanakuja na maelezo ya tofauti kwamba maandamano yamefanikiwa. Iko wapi nguvu ya umma?
Nguvu ya umma inaogopa askari?
 
Bora useme wewe, nikisema mie nitaitwa majina yote, nilidhani humu jf kungekua kimyaaa leo wote wapo kwenye maandamano ila wamejificha vyumbani wakina na simu zao kuikandia serikali.
Wewe takataka kwani watu si wana simu zao popote walipo
 
Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA.
Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in Tanganyika.
Kabisaaaa kabisaa naunga mkono hojaa hii yenye nguvu

Hata huko magogoni nao hawana amani kabisaa
Huu utawala hautasahau hichi kinachopitishwa.

Wanaomba Mungu uishe wakaishi huko
 
Back
Top Bottom