Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Lini yaliwahi kufungwa kwasababu ya 7/7?

Miaka yote maduka kipindi hiki ndiyo yanauza kwelikweli maana watu wanaofanya shopping huongezeka mara dufu kipindi cha saba saba.

Hatufurahii hali hii ila ukweli ni kwamba shughuli nyingi zinasimama kwasababu ya tishio la GenZ.

Kuna haja ya kutafuta ufumbuzi wa jambo hili maana huku mtaani nimeamka kufuata mahitaji fulani nashangaa fremu zote zimefungwa wakati kwa kawaida kuanzia saa 12 asubuhi biashara zinachangamka.
Watu walikua saba saba kama wote wengine walikaa nyumbani na familia zao hali ya mvua hii wengine heka heka hawaziwezi, kiufupi hakukua na maandamano
 
Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA.
Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in Tanganyika.
Wapumbavu wakubwa nyie , lengo lenu kubwa ilikuwa nyie vijana wezi wa Chadema muendeshe wizi kama mlivyofanya 29/10.Wapumbavu, hamjafanikiwa kuiba hata msumari. Kwa hiyo mission yenu ya wizi haijafanikwa na hao mabwana zenu unaosema wa dunia nzima ambao macho na masikio yapo kwetu wameabika na kwa kifupi wote mmefeli. Sasa wewe Bwege, hao mabwana zenu wameshakurupushwa huko Iran, unadhani watawasikiliza tena saa hizi ? Huko kwenyewe sasa wanatafuta maelewano kwa nguvu baada ya kugongwa halafu wawasikilize nyinyi kapuku.
 
Nà mama yako mwizi basi kama ni hivyo
 
Huu ni ushindi mkubwa, askari nao wameandamana takribani kwa siku nne, bado na kesho wataandamana.
 
Matusi ndio mnayajua ila kuandamana kende zote zinatumbukia ndani, mngetoka mkapambane na wanaume huko, shwain weeee
Wewe kumbe ni jike! Mwanaume una bunduki unasema wewe ni mwanaume, shenzi njoo na ngumi tukutane kwenye maandamano
 
Back
Top Bottom