Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Mpaka hapa maandamano yamefanikiwa by 100%. Dunia nzima, majeshi yote ya Tanzania/TANGANYIKA yako barabarani

Ndio maana nimesema hamujitambui, jeshi anayejielewa hawezi kamwe kutii amri haramu.
"Members of the armed forces are bound to obey only lawful orders... an order that is manifestly illegal is not a lawful order and must not be obeyed."
Kaandamane tu
 
Hapa mitaa ya Thika Road ( +254)- Bado kuko shwari
 
Tuko barabarani....maandamano ya Amani. Hujui unachokitetea and most likely wewe ni mzazibari, huna uchungu na TANGANYIKA or ni mnufaika wa mauaji yanayoendelea hapa
Jipige picha ili wenzako wapate hamasa.
Mnatumika kijinga sana
 
Hapa kwenye viwanja vya maonesho hakuna MTU hata mmoja anaingia hapa ndani kwakifupi siku ya Leo ni hasara kubwa Sana Kwa serikali
 
Ni huzuni sana kwa serikali inayoongozwa kwa vitisho vya maandamano...Leo TANTRADE inakula hasara kimapato maana hakuna viingilio vya watu huko 7/7 kama ilivyozoeleka miaka ya nyuma maana hakuna mzazi mwenye akili timamu atatoa watoto wake leo...naunga mkono waandaaji wa haya maandamano wamefanikiwa kwa asilimia 97.kuitikisa serikali
 
Ni huzuni sana kwa serikali inayoongozwa kwa vitisho vya maandamano...Leo TANTRADE inakula hasara kimapato maana hakuna viingilio vya watu huko 7/7 kama ilivyozoeleka miaka ya nyuma maana hakuna mzazi mwenye akili timamu atatoa watoto wake leo...naunga mkono waandaaji wa haya maandamano wamefanikiwa kwa asilimia 97.
Hivi na wale wahudumu, wanaohudumia kwenye ivyo vibanda Vya maonesho nao hawajafika bado
 
Uvivu tu wa kutoka barabarani😃
Mnapiga kelele sana humu ndani nyie vinabo mnaohamasisha wenzenu waache maisha.
wangetoka wanatusumbua sana hawa ndio watu wabaya sana wapo wanatype hamasisha wao wapo mageto wana kaz zao nzuri tu wanataka wasaka tonge wakose wafe kwa mwavuli wa haki? kupigania haki haki ipi?
 
Back
Top Bottom