Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

Bora hata ungekaa kimya tungejua pengine unajua,sasa kama unajua sheria kesi ya ponda ni ya kunyimwa dhamana??to upuuzi wako hapa[/QKOTE]
Sawa, lakini kama wataalamu wameangalia usalama wa nchi na wakajiridhisha kuwa akiwa nje ni hatari zaidi itakuwaje..... AU UNAONAJE HILO
 
Unapokosa ustaarabu na kuamua kuwa mfanyafujo, cage ndio saizi yako

1.jpg


Its Universal Order

6a0120a85dcdae970b0128777034bd970c-pi
 
9aaa.jpg


Sura hizi kama una maarifa ya kusoma picha zinaonesha hali kadhaa kwa mpigo:
1. Ukosefu wa kazi
2. Ukosefu wa elimu na kutojitambua
3. Maisha duni
4. Shari
 
Hizi picha zinasema yote!

Umeona eeh! Kuna mambo ukiyafanya kwenye jamii unajitafutia madhila.

Kulikuwa na haja gani ya kufanya yale aliyofanya? Na hawa wanaoandamana nao wananishangaza, kwani hawatambui alichofanya au wanadhani ukifanya fujo inaleta tija?
 
Hawa wafuasi wa ponda badala ya kwenda kwe shughuli zao wamekuja kujazana mahakaman, hizo ni dalili za uvivu
 
Back
Top Bottom