Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

 


Sura hizi kama una maarifa ya kusoma picha zinaonesha hali kadhaa kwa mpigo:
1. Ukosefu wa kazi
2. Ukosefu wa elimu na kutojitambua
3. Maisha duni
4. Shari
 
Hizi picha zinasema yote!

Umeona eeh! Kuna mambo ukiyafanya kwenye jamii unajitafutia madhila.

Kulikuwa na haja gani ya kufanya yale aliyofanya? Na hawa wanaoandamana nao wananishangaza, kwani hawatambui alichofanya au wanadhani ukifanya fujo inaleta tija?
 
Hawa wafuasi wa ponda badala ya kwenda kwe shughuli zao wamekuja kujazana mahakaman, hizo ni dalili za uvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…