Hali ilivyo nchini Somalia


Mkuu umetema madini.

Kuna kundi la watu sijui kwa kukusa exposure wanachukulia kila kitu cha TZ poa. TZ sio bora ila sasa kufananisha na nchi kama Somalia ni kukosa akili kwa kiwango cha lami.

Sikutaka kujibishana na mleta mada ila a quick google search ingeonyesha karibu yote aliyoongea ni uongo.

Somalia nchi yenye GDP ya 4B USD inazidiwa uchumi na DSM tu let alone TZ nzima.

Hali ya usalama ni factor kubwa sana otherwise wasomali wasingekua wanajazana kwenye nchi za watu wengine leo. Mtu hawezi kimbia kwake kama kumeendelea it's just common sense ndo maana huoni waafrika kusini nchi zingine Afrika ila waafrika wengine kila siku wanakimbilia SA.

Nchi ambayo imepata first ATM 2014 tu ndo ya kufananisha na TZ? Mleta mada mada aseme tu hana exposure ndo maana kazuzuka na Somalia ila mara 100 Kigoma kuliko huko.

 
Toka lini bei ya mchele na vyakula kuwa chini ndio kuendelea kimaendeleo nadhani umeenda Somalia kama tingo wa lori la IOM lililokuwa linawarudisha wakimbizi wa Somalia
 
Wangekuwa na akili wasingeuana ww.
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.
 
Wangekuwa na akili wasingeuana ww.
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.
 
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.
Hiyo akili yao mbona imefanya nchi haitawaliki, Huwezi ukafananisha nchi iliyopata ATM 2014 na Tanzania lazima utakuwa haupo sawa kichwani
 
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.

Ona hii kenge nayo. Toka lini Somalia wanaheshimiana? Somalia haipiti wiki bila kulipuana, hiyo ndo heshima? Tunajadili mambo humu na watu wasiojua nini kinaendelea mnaamini tu kama nyumbu. Nenda kawasaidie kulipuana kama unaona hayo ndo maendeleo.

Hii habari ni hii WK:

 
Kama ni kuzuri kwanini Kila siku wanakimbia kwao? Umewahi kuona watu wanakimbilia Somalia?

Ukienda Ethiopia si ndo utasema ni mbinguni ila Kila siku Ethiopians wanashikwa kwenye malori hapa.

Grass is always greener on the other side.
Umeathiriwa na ujima wa kijamaa kifikra. Open up mkuu. Ndio maana mbondei ukimwambia umwelani kuna fursa anasema mbali haendi huko.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Umeathiriwa na ujima wa kijamaa kifikra. Open up mkuu. Ndio maana mbondei ukimwambia umwelani kuna fursa anasema mbali haendi huko.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app

Mosi nipo nje kwenye ubepari hasa.

Pili, kufananisha TZ na Somalia ni uzwazwa.

Tatu, mara ngapi umekutana na watu toka South Africa kwenye nchi zingine za Africa na wangapi wanakimbilia SA? Ukipata jibu la Hilo swali utajua kwanini wasomali wanakimbia kwao. It's just common sense. Watu hawakimbii maendeleo hata siku moja.

Nne, Somalia Ina GDP ya 4B USD, uchumi wa DSM pekee ni mkubwa kuliko Somalia nzima.

Tano, hakuna miundombinu ya kwenda Somalia zaidi ya Ndege tena airport moja, hayo ndo maendeleo? Airlines zenyewe zinazoenda huko zinahesabika kwenye kiganja kimoja.

I can go on and on.

Mnatetea Somalia ila hamtaki kwenda shit is laughable. Grass is always greener on the other side.
 
Hawakua tayari kutawaliwa na mtu au chama kimoja kwa muda mrefu kama sisi tunavyoburuzwa na CCM.
Sio hawakuwa ni kwamba mpaka sasa hawako tayari kutawaliwa na kundi la Wahuni wapigaji

Kuna wapigaji flani walitaka kuingiza kundi lao la utawala ili kupiga kwa lengo la kuishika nchi

Kudadeki vikao vya awali tu katika kupanga mambo walidondoshewa Bom wakafa wote, wale jamaa hawataki ujinga [emoji1787]
 
baadhi ya viwanja vya ndege vinavyo hudumu nchini somalia ni vifuatavyo, japo vipo zaidi ya Kumi...

1. Aden Adde International Airport una patikana katika mji wa Mogadishu

2. Egal International Airport una patikana katika mji wa Hergeisa

3. Berbera Airport Una patitana katika mjiwa Berbera

4. Basaso Airport Una patikana katika mji wa Basaso

5. Galcaio Airport Una patikana katika mji wa Galcaio

6. Beletwene Airport Una patikana katika mji wa Beletwene

7. Burao Airport Una patikana katika mji wa Burao
Kuna Kismayo airport ktk mji wa kismayo
kuna garowe airport ktk mji wa Puntland
kuna guriel airport ktk mji wa galgaduud
kuna adado airport
kuna baidoa aiport
kuna Dhusamareb Airport (Ugas Nur Airport) katika mji wa galgaduud

kuna bandari nyingi zinazo fanya kazi pia...
na wana safirisha sana ngamia/nyama ya ngamia kwenda arabuni na ni moja ya eneo linalo wapatia fedha nyingi za kigeni

pia wana madini ya kila aina kama ilivyo Congo DR labda kasoro Tanzanite tu... na ndio sababu inayo semekana waarab, mmarekani na mchina wanapigana kikumbo hapo somalia sbabu ya mali zilizopo somalia...

mchina ana ubalozi ambao upo active pale somalia... na wana toa support kwa maendeleo yao somali, muingereza nae anatumia taasisi mbalimbali za UK kusiadia somali...

mmarekani amebaki kuipigia hesabu kubwa sana somalia kwa manufaa binafsi kupitia taasisi mbliambali pia...

wasomali wenyewe nao hawapo mbali kuisaidia somali hasa jamii yao ya wasomali kwa hali na mali... kama ilivyo kwa wazanzibar, nazani ni kwasababu jamii nyingi za pwani wamezoea kuishi pamoja tofauti na jamii za bara,hivyo ni rahisi mzanzibar kama ilivyo kwa msomali kuamisha ndugu zake wote wajumuike pamoja kuliko kwa mbara ambaye anataka yeye jina lake liimbwe pekee katika familia yake...
 
Are you serious? Mkuu unasema kweli? Au kulikuwa na maneno mengine ya ziada? Kama ni hii sentensi tu basi itabidi ''hili nalo waende kulitazama''
Serious mkuu. Na niliandika hiyo sentensi na ikawa sababu ya ban!! Ushahidi huu chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-165450_Chrome.jpg
    61.6 KB · Views: 5

The only international airlines ambazo zinatua Somalia ni KQ, EA na QA na zote zinatua AAIA, Mogadishu (From my understanding so far). Hizo airports zingine ni kama airports za Bukoba na Kigoma tu bongo.

Somalia ina GDP ya 4B USD na a very low growth rate, hayo maendeleo mnayosema anapata kwa hela gani? IMF na WB wenyewe wanasema SO ni maskini mbwa. Google it for yourself. In comparison TZ ina GDP ya 62B USD.

"In the long-term, the Somalia GDP Annual Growth Rate is projected to trend around 3.60 percent in 2023 and 3.40 percent in 2024, according to our econometric models. Somalia is one of the poorest and least safe countries in the world"

In your last paragraph unasema "... msomali kuamisha ndugu zake wote wajumuike pamoja ..." kwanini wahame kama kwao kuna maendeleo? Kwanini wajazane TZ na nchi zingine ambazo hazina maendeleo? Umewahi kusikia watu wanakimbia maendeleo? Exactly. Lini umekutana na group la watu toka South Africa wanaishi kwenye nchi zingine Africa? Ukipata jibu utajua kwanini wasomali wanakimbia kwao.
 
somalia nilienda kwenye kambi za wakimbizi kupitia UN, ni usiombe mnaondolewa hapa saa hiyo hiyo bomu lina tua hapo! hamlali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…