Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Maisha ya Gaza ni magumu mno.
Suluhisho la Gaza sijui liweje. Wapalestina wanataka watambuliwe kama taifa huru, lakini hapo hapo wanajiapiza kulifutilia mbali Taifa la Israel.
Kutoka vita vya kiasili kati ya Wapalestina na waisraeli mpaka kuwa vita ya kidini kati ya waarabu na waislamu dhidi ya waisraeli wanaosaidiwa na nchi za magharibi.
Hali ya Sasa ya Gaza inahitaji akili kubwa sana kuutatua mgogoro unaoendelea.
Maana hofu yangu ni kama vile Israeli inataka kuongeza eneo lake toka kwenye eneo la Gaza.
Hali ya Gaza ni mbaya sana wala si ya kushadadia.