Hali iliyomtokea Jux kumegewa dem na Trey Songz ni kiki au?

Vannesa alikua zamani enzi za 'me and u' wa ommy daah chocolate color flan hivi ya ukweli ila siku hizi amekua kama ndizi choma rangi nne haeleweki yuko na rangi gani....!
 
Na iwe fundisho,kwa mujibu wa SHILAWADU nasikia wame _"unfollowiana" Jux kasahau Huu mchezo hauhitaji hasira.

Ila kugongewa ni maumivu makali mkuu....yaani apo unadharaulika pande zote,mgongaji na mgongwaji wanakuona wa kawaida saana.
 
Alafu hiyo picha ni edited, imewekewa kiza kiza ili kuwaaminisha watu ilikuwa usiku wa kunjunjana, but picha yenyewe original mbona ipo kawaida tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…