Hali iliyomtokea Jux kumegewa dem na Trey Songz ni kiki au?

Mbona Van kaliwa sana tu mpaka na wale masela wa kitaa wameichambua sana ile kitu.
 
mwanaume akiwa na lesbo manake anakuwa na two girlfriendz so that means 3some za kutosha...
Hakuna mwanaume lesbian. Mwanaume ni gay/homosexual/faggot. Lesbian inatumika kwa mwanamke tu.
 
kwani mie nimesemaje nimesema mwanaume akiwa na lesbo sio akiwa lesbo
Naona kasoma juu jui tu. Hajakuelewa.
Kasema mwanaume akiwa na demu wake ambaye ni lesbo au bi.
Au akatafute song inaitwa MY GIRL GOTTA GIRLFRIEND
 
Kama wanapigaga 3some then basi Jux wala hatamind cz 3SOME ni ndoto ya kila msela
 
Unajua juma kazi yake ni mishemishe, Kwaiyo, kaona fresh tu
 
Ako kamchezo hakaitaji hasara n ku-share ndio hbr ya mujini,kamegewa n msela kachukuwa emirate karudi GZ kupiga kitabu chake cha kisanii cha IT
 
Naona kasoma juu jui tu. Hajakuelewa.
Kasema mwanaume akiwa na demu wake ambaye ni lesbo au bi.
Au akatafute song inaitwa MY GIRL GOTTA GIRLFRIEND
Matusi hayo mpwa
 
Naona kasoma juu jui tu. Hajakuelewa.
Kasema mwanaume akiwa na demu wake ambaye ni lesbo au bi.
Au akatafute song inaitwa MY GIRL GOTTA GIRLFRIEND
Matusi hayo mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…