Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Majonzi.
Huwa sina hobby kabisa na siasa, lakini kutokana na hali ngumu ya maisha ya sasa, acha tu niwakilishe shida tunazopata wananchi wa kawaida, shida hii inatupata wananchi wengi kwasababu 75% ya wananchi ni wa kipato cha kawaida.
-Wananchi wengi siku hizi hawawezi kujiwekea akiba kwasababu, kipato wanachopata chote kinaisha kwenye kununua vyakula, vyakula bei juu.
-Pesa imeshuka thamani kwasababu ya vyakula kupanda bei. Kipato wananchi walichokuwa wanapata miezi michache iliyopita siku hizi hakitoshi.
-Kwasababu ya vyakula kupanda bei, kazi zimekuwa kubwa halafu malipo kidogo.
SERIKALI MPO KWA AJILI YETU WANANCHI, FANYENI MPANGO BEI YA VYAKULA ISHUKE, AU MPANDISHE VIPATO WANANCHI WAWEZE KULA MILO 3 KWA SIKU