FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaipingwiHapa ndio tunamkumbuka naniiii??? BULL DOZER
Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.Hapa ndio tunamkumbuka naniiii??? BULL DOZER
Kama alijitoa kwa WaTz tusimkumbuke kwa chuki zako binafsi tu?Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.