Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

Kesho ataibuka mjinga mmoja aliyelipwa pesa kumtusi magufuli ili tusilalsmike umeme
Wiki mbili tu zikiisha umeme hautokatika kamwe.
Software tokea India imekodishwa kwa 69bilioni just kufuatilia ukatikaji wa umeme.
Shida watu hawana mbavu za kupambana wao kama wao Bali mpaka wajipendekeze ama wabebwe ndio wapewe madaraka.ila kichwani empty. Sasa huyu Ni mtt mjini. Smt sie wachunga ng'ombe Yuko vizuri Basi tu. Mana ule umri mdogo unautumia malishoni so haujazi ujinga na uchafu kichwani
 
Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea

===========================
Inaumiza sana

Kojoa mkojo wako ujaze mtera Ili umeme upatikane..

Mwisho Tanesco wanasema by desemba wanaingia megawatt 145 za kinyerezi 3 kwenye grid so italeta ahueni..

Mwisho uchumi unakua Sana kwa hiyo demand ya umeme imekuwa kubwa, nadhani wale mnaosafiri maeneo mbalimbali Mnaweza ona jinsi shughuli mbalimbali za Uchumi zinavyofunguka..
 
Wiki mbili tu zikiisha umeme hautokatika kamwe.
Software tokea India imekodishwa kwa 69bilioni just kufuatilia ukatikaji wa umeme.
Shida watu hawana mbavu za kupambana wao kama wao Bali mpaka wajipendekeze ama wabebwe ndio wapewe madaraka.ila kichwani empty. Sasa huyu Ni mtt mjini. Smt sie wachunga ng'ombe Yuko vizuri Basi tu. Mana ule umri mdogo unautumia malishoni so haujazi ujinga na uchafu kichwani
Hii wizara imemvua Sana nguo January Makamba, kichwani empty kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki mbili tu zikiisha umeme hautokatika kamwe.
Software tokea India imekodishwa kwa 69bilioni just kufuatilia ukatikaji wa umeme.
Shida watu hawana mbavu za kupambana wao kama wao Bali mpaka wajipendekeze ama wabebwe ndio wapewe madaraka.ila kichwani empty. Sasa huyu Ni mtt mjini. Smt sie wachunga ng'ombe Yuko vizuri Basi tu. Mana ule umri mdogo unautumia malishoni so haujazi ujinga na uchafu kichwani
Software kukodishwa kwa 69billion shillings, hilo nalo linsonyesha serikali imejichokea tu, ni kula kwenda mbele.
 
Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
Wewe Imalamawazo member wa jamiiforums nasikitika kukwambia kwamba ”wewe hiyo shingo yako unaichosha bure kwa kuibebesha tikiti badala ya kichwa”

Hopeless kabisa!!!
 
Kwa hiyo MAGU ni sawa na Kristi, endeleeni kukufuru.
MAGU ni satanic icon, tena shetani kichaa anayetomba mpaka ndugu wa mkewe
Nilitegemea majibu hayo ya chuki toka kwako, ingawa ulijaribu kuficha muhemuko, nashukuru umejiweka wazi.
Lakini wenye mawazo ya "kabila" hiyo ni wale wanufaika wa kifo chake pekee.

Rudia tena kufanya utafiti wako mitaani uone kama raia wa Tanzania wana msimamo gani kifikra kwa sasa na namna wanavyougulia maumivu ya ugumu wa maisha kwa sasa.

Hayo ya kusema "Satanic icon" ni chuki tu tulishazoea kusikia haters wakiropokwa hayo kila siku.

Na ujue kwamba hakuna binadamu anayeweza kumjaji binadamu mwingine kwa matendo yake isipokuwa Mungu mwenyezi pekee.

Sisi waja ni kama nyani anayecheka tupu la mwenzake wakati anachokicheka kwa mwenzakw, kwake mwenyewe kimekaa vibaya sana.

Pia "umenikoti" vibaya namna nilivyoeleza kwamba kuwakumbuka wafu kwa matendo yao mema na kuyachukulia kama somo kwao siyo kosa.
Sijajadili wadhambi wala watakatifu mie.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Software kukodishwa kwa 69billion shillings, hilo nalo linsonyesha serikali imejichokea tu, ni kula kwenda mbele.
Sahivi hakuna washamba na malimbukeni wachunga ng'ombe. Sasa hivi Ni mwendo wa ma born town ngoja bornvillage wapumzike kwanza muuzwe na mkamuliwe mpaka mav yote yaishe.
Na bwawa la nyerere Ni mwendo wa kinyonga. Sgr dar to Moro itaua biashara ya Abood ya mabasi na ikifika dodoma ndio usiseme shabiby na hood wote watapeleka wapi ofisi zao na wote wapo bungeni.
Subiria uone itakavyopigwa danadana hii sgr.muda huu watu wangekuwa wanatoka Moto wanafanya kazi dar wanarudi makwao Moto sema Sasa wajanja ngoja wafanye yao.wajiponye majeraha
 
Back
Top Bottom