Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

Hapa ndio tunamkumbuka naniiii??? BULL DOZER
Binafsi nachukizwa na watu kumlilia Magufuli. Magufuli aliishi maisha yake na amelala, kumlilia hakusaidii chochote. Naomba niwashauri, kama kuna jambo linawakera pazeni sauti, piga kelele kuwa jambo hili linakera, acha kujificha kwenye kivuli cha Magufuli. Hii nchi ni nchi ya walio hai siyo nchi ya wafu.
 
Kama alijitoa kwa WaTz tusimkumbuke kwa chuki zako binafsi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…