Hali inatisha Senegal kuliko watu nje wanavyojua

Tanzania hata siku wakiambiwa sheria imepitishwa kwamba lazima wanaume kuinamishwa watapiga kelele mitandaoni kwa kutumia fake IDs lakini kwenye real IDs watainama tu.
Acha kutukashifu mkuu.
 
Senegal utaratibu wa kujichubua kwa walimbwende haujatamalak eee???
Upo na sana tu.

Hao uliowaona kwenye picha ni walimbwende wa kitaani kwetu huko kwenye sembe na fungu la dagaa kauzu, hao kujichubua kwao ni kuungua kwa uso kutokana na mix kali ya mkorogo.

Angalia sura, shingo na mkono wa huyu mrembo hapa chini, naweza kukuunganisha naye ukitaka...



Au huyu hapa chini, chungulia ngozi yake uone mkorogo ulivyofanya kazi👇🏾.


 
Tanzania hata siku wakiambiwa sheria imepitishwa kwamba lazima wanaume kuinamishwa watapiga kelele mitandaoni kwa kutumia fake IDs lakini kwenye real IDs watainama tu.
Huo mfano shetani apite mbali
 
Yani mkuu unasema kweli. Huwezi kuamini leo hii wazimbabwe wamemmiss Robert Mugabe. Huwezi amini wa Gambia wamemmiss Yahya Jammeh.

Yani ndo maana naunga mkono tu PAKA atawale Rwanda hadi mauti.
Sasa kama unaunga mkono utawala wa mabavu unachokilalamikia huko Senegal ni Nini? Kwa hiyo wewe unaona ni sawa viongozi kuvunja katiba?
 
Oya mregesi wanasemaje hapo Geneva??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…