Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Acha kutukashifu mkuu.Tanzania hata siku wakiambiwa sheria imepitishwa kwamba lazima wanaume kuinamishwa watapiga kelele mitandaoni kwa kutumia fake IDs lakini kwenye real IDs watainama tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutukashifu mkuu.Tanzania hata siku wakiambiwa sheria imepitishwa kwamba lazima wanaume kuinamishwa watapiga kelele mitandaoni kwa kutumia fake IDs lakini kwenye real IDs watainama tu.
Kwani unafikiri chanzo ni nani?Tulivyo na akili fyatu Waafrika, utasikia huo mgogoro chanzo ni mabeberu.
Upo na sana tu.Senegal utaratibu wa kujichubua kwa walimbwende haujatamalak eee???
Huo mfano shetani apite mbaliTanzania hata siku wakiambiwa sheria imepitishwa kwamba lazima wanaume kuinamishwa watapiga kelele mitandaoni kwa kutumia fake IDs lakini kwenye real IDs watainama tu.
Watz hamna uwezo wa kufanya chochote, kikubwa mnachoweza ni kulalamika mitandaoni baaasi.Tz ndiyo tunakoelekea.wao waendelee kuuza bandari zetu kama loliondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Truth is truth even if it goes against your pre conceived info.Acha kutukashifu mkuu.
Chanzo ni uongozi mbovu wa CCMKwani unafikiri chanzo ni nani?
Sasa kama unaunga mkono utawala wa mabavu unachokilalamikia huko Senegal ni Nini? Kwa hiyo wewe unaona ni sawa viongozi kuvunja katiba?Yani mkuu unasema kweli. Huwezi kuamini leo hii wazimbabwe wamemmiss Robert Mugabe. Huwezi amini wa Gambia wamemmiss Yahya Jammeh.
Yani ndo maana naunga mkono tu PAKA atawale Rwanda hadi mauti.