Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Askari wa kiafrica waendelee tu kuomba waafrika wasizijue mbinu za kupambana na Askari wenyewe silaa siku wakijua tu Afrika udikteta utatoweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hii M7 ni kutupwa gereni moja kwa moja sielewi kwa nini baadhi ya viongozi wa bara la afrika wanakuwa namana hii pia naona ipo haja ya UN kuongezewa nguvu zaidi na kupewa jeshi kali sana litakalokuwa na kazi tu ya kuwanyofoa viongozi wa aina hii afrika maana naona ipo haja ya kustaarabishwa kinguvu na hakuna namna nyingine yoyote
Utauwa at the end utang'oka tu killing haijawahi silence people.Ukileta upumbavu na ujinga utauawa tu. Tatizo vijana wa siku hizi mmejaa ujinga ujinga sana yaani. Mtaendelea kutangulizwa kufa na kutiwa vilema hadi mpukutike, wapumbavu nyinyi.
Si kweli mkuu. Pamekuwa na matamko madhubiti kabisa dhidi ya Mseveni kama ilivyo kwa jiwe pia.
Mumeanza tena kuhesabu siku za mseven baada ya kushindwa kuhesabu za JPM, pole sana mtasubiri saanaKuna viongozi majuha sana Africa. Imagine watu zaidi ya 60 wamekufa kizembe kabisa bila sababu za msingi.
Hakukuwa na haja ya kumshikilia Bobi wine mpaka watu wafe ndio wamuachie. Siku za Mu7 zinahesabika sasa
Kina nani hao waliokuwa wanahesabu siku za JPM?Mumeanza tena kuhesabu siku za mseven baada ya kushindwa kuhesabu za JPM, pole sana mtasubiri saana
Mkuu uzi wako wa Trump unateketea kule [emoji1787]Haumjui Museveni wewe, hayo matamko yenu ya kuchagua na kuchuja ? Weka tamko rasmi hapa la Serikali ya Muzungu dhidi ya Museveni, Mzungu hawezi kupingana na Museveni na Kagame hao wana yao mengi sana, ...